Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
kwa kweli BB hata sielewi inakuwaje thread yangu kuchanganywa na mtu mwingine, nishareport nina imani wanafanyia kazi yaani hata kwenye profile yangu siioni kabisa!
Age 26
Hometown Dar es Salaam
Occupation TV Broadcaster
Biography Tune in on Sunday 1 May to get Bhokes full profile.
Show itaanza may 1.... Haya kazi ni kwetu kumpa support dada yetu!
Nafikiri it's some kind of strategy ya BBA, may be wale watakaa kwenye jumba for sometime then wataondoka watawaacha washiriki wenyewe waliokuwa selected, i don't know how it works but lets wait and see cause the game is on already, ila nimefurahishwa na performance ya Busta Ryhmes pia na vale vijana waliokuwa dancers ni noma pia yule mdada wa Angola kivazi alichokuwa amevaa mhhh si mchezoYule dada mwingine Mtanzania ametoka wapi? Yule alieanguka jana...Utulivu wake ni zero kabisa.
Na wewe jamani! mbona unanivunja mbavi mie, haya angalia hapo chini, ataweza ku compete na huyu wa kampala? Shanon, ni mwanamusic
inols,yo very right,that thing is ril satanic! I dont support it but if that is what she want to do its fyn.
Hampendi dada zenu wamegwe?mbona nyie wenyewe hamuwamegi nenda dada nenda kamegwe mwayego.
Boke, nadhani safari hii wameamua kupeleka aliyefanyiwa tohara ili kuliepusha taifa na aibu.
Kienyeji sanaHapa JF hamna mmiliki wa threads mkuu.. Kilichotokea ni kwamba Habari aliyoweka josm ndiyo hiyo hiyo aliyoweka Gaga, hivyo haiwezekani kukawepo thread 2 ambazo zinazungumzia jambo moja. Au unachangia kwenye thread kwa kuangalia mweye kuianzisha?
Kwa mtaji huu na hii nyingine iliyoanzishwa na Revolutionalist nayo ni ya BBA ingeletwa humu au inakuwaje mkuuKweli MODS wetu wana kazi ngumu sana... Ni kwamba habari uliyoiweka kwenye thread yako ilikuwa tayari humu ndani.. hivyo imefanya kuunganishwa na ya mwanzo...Hivi kila mtu aje na habari moja ambayo tayari ipo humu ndani na kutaka ijategemee patatosha kwel?
<br />Sijui ana dimples au mimi macho yangu ndio mabovu
jamani,let her do her things! We shuldnt discourage her in any ways!
Hhaha pole sanaterrible irresponsible life showed live...and us getting jubilated by it....what a paradox
ndo yule alikuwa na denge akala mweleka wa DABALI kwa kushindwa kunepa na skuna?ni lotus anayetangaza kipindi cha nirvana eatv.