Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Mods, Naomba sometimes kwa issues kama hizi rules za JF ziwe zinaruhusu kutukana.
hahahaaaaaaaaaaaa..... sasa utukane yupi, bhoke, BBA au wachangiaje??... au yule mganda aliyemnanihii bhoke kama kicheche
 
Kule kwenye Jaccuzi ni kama alijiexpress!

Yeah kule niliona kabisa anamsogezea jamaa kitolea tope

Dada zetu wanajidhalilisha sana hawa MNET inabidi wizara husika iwachimbe mkwara hakuna kupeleka videmu kule

Hii imeidhalilisha nchi na mm mwenyewe nimedhalilika kweli imeonekana mademu wa bongo ni cheap sana

Jamani wadada kemeeni tabia hii chafu
 
Pambafu kabisa! Baada ya kufanya utumbo wake anakuja na kiburi chake hapa kutuambia hakuenda kuiwakilisha Tz. Kelele zote za nini kuomba surport.
 
Huyu demu atakuwa live leo kwenye kipindi cha JAHAZI cha Clouds FM mwenye kuweza ku rekodi arekodi aweke hapa
Hii imeidhalilisha nchi na mm mwenyewe nimedhalilika kweli imeonekana mademu wa bongo ni cheap sana

Jamani wadada kemeeni tabia hii chafu
Hili ni wazo la mpwa wako Yo Yo ngoja akitoka likizo,nafikiri mkuu wanadada wa tanzania wanapenda kuchapwa nao na ndunde ambazo hazijatahiriwa
 
Huyu demu atakuwa live leo kwenye kipindi cha JAHAZI cha Clouds FM mwenye kuweza ku rekodi arekodi aweke hapa
Nikipata muda nitasikiliza kwa mara ya kwanza mwaka huu Jahazi!
 
ngoja nijilie kwa macho mtoto bhoke anavyoliwa uroda!!!
  • :dance:
 
Yanajifariji mwenyewe badala ya kufarijiwa baada ya kushindwa,,,mpumbavu kweli huyu.
 
mimi sipiti nipo
ninahasira nae sana,huwezi ku du me i do you wakati unaelewa kabisaaaaa kuwa kunakamera kibao,unamaanisha alikusudia kutuaibisha

mimi nilikuwa naona mashuka yanainuka na kushuka chini,nilidhani kuna mgonjwa anaumwa kumbe wana du bana

umetuaibisha sana

I can guess that now SHE IS REGRETING to the maximum point.
 
Back
Top Bottom