Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Sijui kama ataendelea na kazi yake ile.....
 
toto malaya ni malaya tu! hamkujua hilo tangu mwanzo?
 
Nyakati za Mwisho!! wenye macho na tazameni. UZINZI NA UASHERATI HATA SODOMA IKO NYUMA!! Je wazazi na ndugu wa karibu wa huyu Fuska wanahisi nini? Jamii inayowafahamu inawaonaje? It is a sham!!
 
Hii ni aibu ya mwaka! Nasikia huyu ni mtangazaji wa TV fulani Dar. Employer wake akiona hii itakuwaje? Atarudi tena kuwa mtangazaji kweli?! Shame on you girl!
Kipindi kitakosa mvuto kabisa...
 
MOD IONDOE HAPA HASA WAZAZI WA HUYU CHA****U ni lazima wanaumia na kuina aibu Na bahati mbaya ni dunia nzima imeyaona haya!!! MOD NAOMBA UIONDOE HAPA LABDA ZE UTAMU IFUFLIWE IWEKWE HUKO
 
yah hata game yenyewe kama Lipuli an katavi rangers,Ernest ni poor perfomer hakukuluki nilitegemea na ukame wao ule jamaa angepiga ile nje ndani 200 mpaka mashine inawaka moto
.....weweee!! usifananishe gemu za Katavi rangers na hawa malaya!!
 
5 connect the real connection! Nilimdhania n m2 classic, alaf juz juz tu kapata mtoto. Kajiharibia sana. Kiukwel namuonea huruma huyu dada.
Hivi kumbe ana mtoto??
 
MOD IONDOE HAPA HASA WAZAZI WA HUYU CHA****U ni lazima wanaumia na kuina aibu Na bahati mbaya ni dunia nzima imeyaona haya!!! MOD NAOMBA UIONDOE HAPA LABDA ZE UTAMU IFUFLIWE IWEKWE HUKO
usiiondoe, hamishia jukwaa la wakubwa
 
This is a war, JF ladies and gentlemen........!

Bhoke....... you brought this debate.. what do you have to say?
 
Angekuwa na akili bora angenyamaza kimya kuliko kuendelea kupiga domo kwenye interviews kujaribu kujitetea....ndo anazidi kuharibu!
 
usiiondoe, hamishia jukwaa la wakubwa
Aisee upumbavu hauna ujazo haina majotro ikae hapa hapa sia lifanya akiwa mbele ya kamera zinazoonekana dunia nzima
 
This reminds of me Monica Lewis and Bill clinton.....

Moi aliuliza hivi, kwani shida ya nini na jamaa hakuchomeka......????

Ernest alichomeka?

we are not sure!
 
I wish Lotus angebakia. Alikuwa mcharuko lakini hakuwa maharage ya Mbeya kama dadake.
 
Tena alikuwa mume wa mtu na pete ya ndoa juu! Akimtamkia bidada 'I love u ' hiyo ni adultery!

yaani ni kwamba unamtetea au ni nini?......kwani kwa kuwa wanaume wanafanya basi ni sawa na yeye kufanya?.....kwani wanaume wakinanii wanapata mimba?....acha kutetea umalaya
 
Back
Top Bottom