Bi Chaudele anaonewa tu. Hana alijualo na uelewa wake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.

yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.

hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
 
Anawaza uarabuni pekee
 
Wehu wanamtumia kwa malengo yao.

Tuendelee kuangalia minenguo🤣
 
Wenzenu wanachota mabillion nyie kumbweka tu 😅😅😅acha watu wapige pesa ,mwisho wa siku mjanja anashinda tu.
 
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.

yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.

hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Mtakoma mlimchagua wenyewe!
 
Bibi chaudele ana waambia.
"Naogopa simba na meno yake siogopi binadamu na maneno yake."

Urojo leo umechelewa kupikwa kwaiyo amekasirika sana muwe makini.
 
Back
Top Bottom