Bi Chaudele anaonewa tu. Hana alijualo na uelewa wake

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.

yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.

hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Mwaka wa ngapi huu mnajiyekenya na kujichekesha? Imewakata hiyo tukutane 2030
 
Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.

yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.

hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Na Wine 🍷 anagonga na Whisky πŸ₯ƒ kama zote
 
Mtu anashindia na kulalia urojo unategemea nini hapo. Ngoja wqliopo nyumba za jirani wajineemeshe manake ishakuwa trend ya kijiji.
 
🀣🀣Bibi chaudele
Afu ukimkuta anajipaka Hina kucha zake utabloo,anakuwaga serious hatari,utasema anafanya mtihani wa moku
 
B@vcha na mipasho,....yupo kazini mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom