Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyemchagua! Yeye mwenyewe alisema alifail kidato cha nne! Mmempaje uenyekiti wa mtaa?Mtakoma mlimchagua wenyewe!
Anatumiwa na genge la wahuni kupora mali za kijiji! Waarabu hawakauki nchini!Ajihuzulu arudi kwao hatumtaki huku bara
Umeme kila siku unakatwa kipindi hiki cha mvua ili waarabu wauze majeneraterWazanzibar ni wavivu sn
Mwaka wa ngapi huu mnajiyekenya na kujichekesha? Imewakata hiyo tukutane 2030Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.
hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Na Wine π· anagonga na Whisky π₯ kama zoteNi huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.
hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Umesema kweli mkuu, maana bado tunaendelea kuwakumbatia hawa mboga mboga.Sisi ndiyo wajinga haswa
Inakuwaje tuongozwe na mtu wa kukopa? siku tukipata akili ndiyo maandeleo yatapatikanaUmesema kweli mkuu, maana bado tunaendelea kuwakumbatia hawa mboga mboga.