Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Anawaza uarabuni pekeeNi huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.
hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Sisi ndiyo wajinga haswaBi chaundele ni MTU wa pwani hawa kazi Yao kubwa ni mambo ya chumbani Tu ni kosa kubwa Sana kumwachia mtaa atuongoze
Wehu wanamtumia kwa malengo yao.Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.
hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Mtakoma mlimchagua wenyewe!Ni huyu mke wa jirani yangu bi chaudele. Hajui kutunza watoto hajui kuangalia watoto wala ndugu na jamaa zake.
yeye ni mtu wa ngoma na ngoma ni zake kijiji hadi kijiji anazunguka kwenda kucheza ngoma. Ukimwona muda wote kapaka wanja wa kungu na anakuwa amekula kungu manga kafunga kibwebwe tayari kwa mtoko.
hana alijualo masikini. Kiukweli hali ni ngumu zaidi sababu ndiye mwenyekiti wetu wa mtaa. Kumpata mtaani ni "inshu."
Alipata kura ngapi?Mtakoma mlimchagua wenyewe!
Wazanzibar ni wavivu snHuyo bibi chaudele ajafunzwa