Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Bi. Hindu Shikamoo, kumbe una miaka 80!

Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.

Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.

I used to think she was just born in the 1950s.

Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.

Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.

Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.

Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
Awafundishe na friquency ya kupiga game.
 
Na wee umri umeenda homgera nilodhaninkijana kijana wa 80ss sorry heshimamyako. Kuu
 
Mluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.

Walio baki Moro ndio hao Waluguru

So basically Bi Hindu ni Mzaramo
Hivi wazaramo wametokea Iringa? [emoji2954][emoji2954][emoji2954] Ukinithibitishia hili sasa hivi nakwenda kutafuta mishkaki ya mbwa!
 
Kasome historia ya makabila ya Tanzania
 
Mbona huwa mnawacheka wanaume wa kizungu kuwa wanaoa wanawake wakubwa kuliko wao?
Bibi hindu anamzidi baba yake miaka 11 na mama yake miaka 16,kwahiyo kama mwaka huu bibi hindu atafikisha miaka 80 basi baba=miaka 69 mama=miaka 64,hapo nani mkubwa?mkienda shule muwe mnasoma mnaelewa sio kukua tu
 
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.

Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.

I used to think she was just born in the 1950s.

Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.

Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.

Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.

Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
Tuliomaliza miaka ya 1996_1999 si haba tumekula chumvi. Na hii si wadada tu, mimi nina jamaa zangu tuliohitimu nao mwaka huo 1998 ni wazee mpaka baadhi ya ndugu zangu nikiwaonyesha tuliosoma nao huwa hawaamini maana ni wazee kwelikweli.
 
Cheif U have spoken my mind
 
Wen
Tuliomaliza miaka ya 1996_1999 si haba tumekula chumvi. Na hii si wadada tu, mimi nina jamaa zangu tuliohitimu nao mwaka huo 1998 ni wazee mpaka baadhi ya ndugu zangu nikiwaonyesha tuliosoma nao huwa hawaamini maana ni wazee kwelikweli.
Wengine wametoka hadi vipara
 
Bibi hindu anamzidi baba yake miaka 11 na mama yake miaka 16,kwahiyo kama mwaka huu bibi hindu atafikisha miaka 80 basi baba=miaka 69 mama=miaka 64,hapo nani mkubwa?mkienda shule muwe mnasoma mnaelewa sio kukua tu
Mkuu u have spoken my mind
 
Binti wa siku hizi miili yao inakua haraka sana... mtoto wa miaka ya 90' daah utasema mdada wa miaka 35 huko...

Cc: mahondaw
 
Mluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.

Walio baki Moro ndio hao Waluguru

So basically Bi Hindu ni Mzaramo

sasa inakuaje tunaambiwa Wazaramu ndio wenyeji wa Dar na pwani wakati wao wenyewe ni wahamizi tu
 
Back
Top Bottom