balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Awafundishe na friquency ya kupiga game.Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.
Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.
I used to think she was just born in the 1950s.
Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.
Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.
Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.
Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.