Bi. Katherinie Johnson ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo

Hahahahaahaaa.

Kuna swali lilikuwa linachanganywa, circular motion na projectile motion hapo hapo.

Bibi kaokoa image ya wanawake aisee
 
ningempongeza ila sipendi hesabu hivyo.....
 
Kwenda mars au kwenda mwezini?? Navojua mars haikwenda apolo ilienda phoemix lander tena sio enzi hizo ni miaka ya karibuni tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndio mwanamke kichwa basi. Neno nyodo naona umeingiza uswahili
 
Umenikumbusha nelkon na UP...university physics... Tena ili kumwesha mwl kuwa unajua unachokidifaini unamchorea projectile inavyo inavyotrace trajectory.
 
Katika topic ya physics advanced level iliyotaka kunipa pressure ni hiyo projectile motion, sijui ni kutokana na mwalimu, yaani akifundisha na kusolve maswali utasema topic rahisi, njoo sasa kwenye maswali ya Chande, au gaba ndiyo utajua mziki wake.
Btw happy birthday to her,
Ningepata nafasi ya kumla enzi za ujana wake nisingevaa kondom ili anizalie genius mmoja.😘😘😘
 
Projectile motion ilikutesa advance? Una ujamaa na kilaza wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi kama huyo nyodo amfanyie nani?kwa kipi?...huyo hata akiweka k yake hakuna wa kutamani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…