thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaahaaa.Haha nakumbuka ukiulizwa define Trajectory basi unajibu kwa mbwembwe is a path taken by a projectile.
Chini unaletewa problem u solve ndo tunapoteana hapo.
Ila huyu bibi kawaokoa madem wasiojua nini maana ya sayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli maana kwa kizazi hiki sidhani tutapata kuona madem aina yake.Hahahahaahaaa.
Kuna swali lilikuwa linachanganywa, circular motion na projectile motion hapo hapo.
Bibi kaokoa image ya wanawake aisee
wapo watakuja tuu kuna mwanangu huyo namuanda hhahahhaKwakweli maana kwa kizazi hiki sidhani tutapata kuona madem aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri mkuu vipi ni mzuri? Ule uzuri vijana wanapenda?wapo watakuja tuu kuna mwanangu huyo namuanda hhahahha
anasura kama mimi baba ake
Hahahahahaaaa.Hahahaaaaaaa
Asee masomo ya sayansi ni nyokoo
Kuna mdada flani hadi alikua analoanisha pichu akyanan mweeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeeeeeee
Kwenda mars au kwenda mwezini?? Navojua mars haikwenda apolo ilienda phoemix lander tena sio enzi hizo ni miaka ya karibuni tu!!Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndio mwanamke kichwa basi. Neno nyodo naona umeingiza uswahiliBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe unapenda chura, nilifikiri unaipenda CCM tuNyodo bila chura? Nakataa, haiwezekani.
Umenikumbusha nelkon na UP...university physics... Tena ili kumwesha mwl kuwa unajua unachokidifaini unamchorea projectile inavyo inavyotrace trajectory.Haha nakumbuka ukiulizwa define Trajectory basi unajibu kwa mbwembwe is a path taken by a projectile.
Chini unaletewa problem u solve ndo tunapoteana hapo.
Ila huyu bibi kawaokoa madem wasiojua nini maana ya sayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kazidisha tangawizi kwenye chai kulalekKwenda mars au kwenda mwezini?? Navojua mars haikwenda apolo ilienda phoemix lander tena sio enzi hizo ni miaka ya karibuni tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Projectile motion ilikutesa advance? Una ujamaa na kilaza weweBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.