Huku kwetu tunangalia lenzi mbinuko; hayo mahesabu tupa kuleeee, kwetu hata udiwani wa viti maalum hapatiBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Mulilazimishwa kuchukua hiyo physicsKatika topic ya physics advanced level iliyotaka kunipa pressure ni hiyo projectile motion, sijui ni kutokana na mwalimu, yaani akifundisha na kusolve maswali utasema topic rahisi, njoo sasa kwenye maswali ya Chande, au gaba ndiyo utajua mziki wake.
Btw happy birthday to her,
Ningepata nafasi ya kumla enzi za ujana wake nisingevaa kondom ili anizalie genius mmoja.πππ
Haha unapenda nn mkuu?ningempongeza ila sipendi hesabu hivyo.....
Aw kweli? Nampenda Cookie LionKuna movie moja inaitwa the hidden figure ni nzuri, itafute uingalie..
Ameigiza cookie lion Kama Catherine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni mkali wa haya mambo?Hahahahaahaaa.
Kuna swali lilikuwa linachanganywa, circular motion na projectile motion hapo hapo.
Bibi kaokoa image ya wanawake aisee
Daaaah umenikumbusha mbali sanaBi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Oswald Daudi Mwakibete tungekuwa waoga wa physics leo hii tusingekuwa na Wahandisi, Madaktari, Marubani wazawa n.k kwahiyo Nchi ingekuwa inawarecruit wataalam kutoka nje tu, sisi tungeendelea kuzalisha wanasiasa tuπππMulilazimishwa kuchukua hiyo physics
Taraji P. Henson ndio ameigiza character ya huyu mamaKuna movie moja inaitwa the hidden figure ni nzuri, itafute uingalie..
Ameigiza cookie lion Kama Catherine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyodo kwa akili aliyonayo kwa vile ni mathematical genius. Na amefanya kaxi nasa.. siku anastaafu alituzwa kwa kazi nzuri aliyofanya.Bibi kama huyo nyodo amfanyie nani?kwa kipi?...huyo hata akiweka k yake hakuna wa kutamani.....
Ww ndio umemuwekea hiyo nyodo.... stupid....alafu nani alikudanganya hesabu ni somo gumu ....labda kama ww ni kiazi...madem wanalingia k zao kutokana na uzuri wao....wp uliona mwanamke analingia akili....ww mbwisye kweli wwNyodo kwa akili aliyonayo kwa vile ni mathematical genius. Na amefanya kaxi nasa.. siku anastaafu alituzwa kwa kazi nzuri aliyofanya.
Sio ukiambiwa nyodo unawaza kutombana tu. Kuna nyoda za aina nuingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu nimetelezanisamehe, wanaumhimu Sana wanasayansiMkuu Oswald Daudi Mwakibete tungekuwa waoga wa physics leo hii tusingekuwa na Wahandisi, Madaktari, Marubani wazawa n.k kwahiyo Nchi ingekuwa inawarecruit wataalam kutoka nje tu, sisi tungeendelea kuzalisha wanasiasa tuπππ
kati ya topic zote hii kwangu nikiielewa sana maana nilipiga tuition kama 3 hivi na kutumia zaidi maswali ya U.Pprojectile motion daah hadi pressure yani sitaki kukumbuka