Bi. Katherinie Johnson ndo mwanamke anayestahili kuwa na nyodo

Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu tunangalia lenzi mbinuko; hayo mahesabu tupa kuleeee, kwetu hata udiwani wa viti maalum hapati
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app

pongezi kwake ameleta heshima na ku inspire jamii , ni mars au moon?

usikose kumwangalia Dr Nicky Fox WA John Hopkins university na Nasa , ni mwingereza amesimamia chombo kilichorushwa kwenda kwenye jua kuchunguza
 
Katika topic ya physics advanced level iliyotaka kunipa pressure ni hiyo projectile motion, sijui ni kutokana na mwalimu, yaani akifundisha na kusolve maswali utasema topic rahisi, njoo sasa kwenye maswali ya Chande, au gaba ndiyo utajua mziki wake.
Btw happy birthday to her,
Ningepata nafasi ya kumla enzi za ujana wake nisingevaa kondom ili anizalie genius mmoja.😘😘😘
Mulilazimishwa kuchukua hiyo physics
 
Hahahahaahaaa.

Kuna swali lilikuwa linachanganywa, circular motion na projectile motion hapo hapo.

Bibi kaokoa image ya wanawake aisee
Kumbe na wewe ni mkali wa haya mambo?
 
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa.
Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo kwenda Mars.
Wazee tuliopitia advanced physics tunajua mziki wa Projectile motion ulivyokuwa unatusaliti ndani ya vyumba vya mitihani. View attachment 847924

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah umenikumbusha mbali sana
Hongera sana bibi( Mtaalam wa Hesabu)
 
Bibi kama huyo nyodo amfanyie nani?kwa kipi?...huyo hata akiweka k yake hakuna wa kutamani.....
Nyodo kwa akili aliyonayo kwa vile ni mathematical genius. Na amefanya kaxi nasa.. siku anastaafu alituzwa kwa kazi nzuri aliyofanya.

Sio ukiambiwa nyodo unawaza kutombana tu. Kuna nyoda za aina nuingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyodo kwa akili aliyonayo kwa vile ni mathematical genius. Na amefanya kaxi nasa.. siku anastaafu alituzwa kwa kazi nzuri aliyofanya.

Sio ukiambiwa nyodo unawaza kutombana tu. Kuna nyoda za aina nuingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio umemuwekea hiyo nyodo.... stupid....alafu nani alikudanganya hesabu ni somo gumu ....labda kama ww ni kiazi...madem wanalingia k zao kutokana na uzuri wao....wp uliona mwanamke analingia akili....ww mbwisye kweli ww
 
Back
Top Bottom