Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Kwenye suala la mwanaume aisee Nina mwanaume special sana,.... lovable, supportive economically and spiritually...huyu huyu ananitosha sitamani mwingine Namshukuru Mungu Kwa ajili yake....(sio kwamba hamna changamoto,zinavumilika)
Show,show,show!!!kipengele muhimu Kwa Jo' ni show na Mwamba keshakivuka hayo mengine ziada tu.
 
Wewe aliyekwambia Mimi kipengele muhimu ni show nani?utakula show kijana wangu?utajenga show?utalipia watoto ada show?

Wewe aliyekwambia Mimi kipengele muhimu ni show nani?utakula show kijana wangu?utajenga show?utalipia watoto ada show?
Ahaaa, kumbe wewe sio Mwanamke sampuli ya kina Bi khadija,Sarah na Maria magdalena!?
Samahani rafiki kipenzi sijakusudia kukukera!
 
Kuna clip inagoma inahusu mambo Saba ambayo mwanamke anapswa ayafanye ndio nguzo ya ndoa yapo kwenye mafundisho
Huwa naipenda sana nikitulia nitayaandika hapa Robert Heriel Mtibeli
 
Ni wanaume gani hao unaowazungumzia hawa ambao wanajiendekeza kuwa hawawezi kuwa na mwanamke mmoja, wewe huku unamsaidia kutafuta mwenzako kuna mchepuko huko nje hamsaidii chochote na anahongwa sehemu ya hizo mali mnazotafuta kisa tu anajua kukata viuno, wanaume ifike pahala muache kuwalalamikia wanawake tu na kujitafakari ninyi mnakosea wapi
 
Wakristo mnaujua ukweli sana tu ila sijui kwann hamtaki kusilimu

Anyway tumuombe Mungu atuongoze kwenye njia iliyo sawa
 
Ujumbe upi tena?
Usiishie tu kumuombea bwashee kwa maneno matamu ya ghilba na kumuacha apambanie mafanikio yenu peke yake huku wewe ukitikisa guu juu ya sofa bali amka mshikamane na ushirikiane nae kujenga uchumi wa familia.
 
Sawa,basi kaa tu muache akatafute mwenyewe na kisha ajipangie namna yakutumia pato lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…