Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

1. Mke mwema hawezi akamuacha mmeweazini na vijakazi.

2. Mke mwema hawezi KUMUACHA MUMEWE ANYONYE NDIMI ZI AKINA ALHASSAN.

3. Mke mwema hawezi KUMUACHA MUMEWE aue WATU.

4. Mke mwema hawezi akamshauri mmeae KUOA mtoto wa miaka sita.

5. Mke mwema hawezi KUMUACHA mumewe akazini na kijakazi.

6 mke mwema hawezi akamshauri MUMEWE AKAE uchi.
 
🤣🤣🤣🤣Eti Mapenzi khaaa!mmmh mmmmmh hapana watu mna mbinu jamani

Ukishakutana na Mwanaume kama Mimi ukaingia kwenye mapenzi na Mimi Kutoka ni kipengele kikubwa. Hii Dunia yote utaiona ni yako. 😀😀 Najua utaona najipakulia minyama, lakini wanawake wenzako walioolewa na wanaume wa Aina yangu watakuambia.🏃🏃
 
Ukishakutana na Mwanaume kama Mimi ukaingia kwenye mapenzi na Mimi Kutoka ni kipengele kikubwa. Hii Dunia yote utaiona ni yako. 😀😀 Najua utaona najipakulia minyama, lakini wanawake wenzako walioolewa na wanaume wa Aina yangu watakuambia.🏃🏃
🤣🤣🤣🤣Hapo kwanza ncheke!
Maana nimetoka Sasa hivi kumsikiliza mganga wa Diva the bawse ameongea sentence hivihivi!kumbe Sasa kinyume chake,,,,,🤣🤣🤣🤣🤣hiiiiiiiiii.
 
🤣🤣🤣🤣Hapo kwanza ncheke!
Maana nimetoka Sasa hivi kumsikiliza mganga wa Diva the bawse ameongea sentence hivihivi!kumbe Sasa kinyume chake,,,,,🤣🤣🤣🤣🤣hiiiiiiiiii.

Siku ukipata mwanaume WA Aina yangu utakumbuka kauli na maneno yangu. Muombe Mungu tuu!
Hao wengine sijui kina Diva siwajui Mimi
 
Siku ukipata mwanaume WA Aina yangu utakumbuka kauli na maneno yangu. Muombe Mungu tuu!
Hao wengine sijui kina Diva siwajui Mimi
Kwenye suala la mwanaume aisee Nina mwanaume special sana,.... lovable, supportive economically and spiritually...huyu huyu ananitosha sitamani mwingine Namshukuru Mungu Kwa ajili yake....(sio kwamba hamna changamoto,zinavumilika)
 
Sijaona hata kitu Cha maana Ulicho kiandika

Labda ungeniambia Mke WA MTUME ALIKUWA na sifa ZIFUATAZO.......

Umeandika UMBEA.
Nilikuwa NAKUHESHIMU kumbe ndio wale wale....
 
Kwenye suala la mwanaume aisee Nina mwanaume special sana,.... lovable, supportive economically and spiritually...huyu huyu ananitosha sitamani mwingine Namshukuru Mungu Kwa ajili yake....(sio kwamba hamna changamoto,zinavumilika)

Vizuri.
Hayohayo uliyoyataja hakikisha unamfanyia vivyohivyo. Ili naye akiulizwa ajibu kuwa amepata Mwanamke special mwenye Sifa hizohizo ulizotaja.

Hicho ndicho ninachoandikaga humu. Ila ninyi vichwa ngumu hamtaki kunielewa
 
Sijaona hata kitu Cha maana Ulicho kiandika

Labda ungeniambia Mke WA MTUME ALIKUWA na sifa ZIFUATAZO.......

Umeandika UMBEA.
Nilikuwa NAKUHESHIMU kumbe ndio wale wale....

Acha Hasira Mkuu.
Bi. Khadija ni moja ya Wanawake Bora kuliko unavyotaka kumueleza, sio kwamba Hana mapungufu Ila ubora wake wengi Hawana.

Unafikiri kuwa MKE wa MTUME mashuhuri ni Jambo Dogo?
Hivi unajua Muhammad anawafuasi wangapi Duniani tangu kuanzishwa Kwa uislam mpaka Dunia itakapofika tamati?

Ukiona kila muislam Duniani iwe unampenda au haumpendi basi huo ni mchango na matokeo ya Bi. Khadija.
 
BI KHADIJA apewe maua yake
Baada ya kufariki Bi Khadija Mtume (s.a.w) alioa wake wengine kibao, tena walikua ni pisi kali kwelikweli lakini kila siku alikua anamtaja Bi Khadija mpaka wake zake wengine wakawa wanaona wivu na kulalamika.
Mashaallah Bi Khadija alikua ni mke na nusu, yaani alijua kuisimamia ndoa yake mpaka Mtume wetu mwenyewe akapagawa kwa mahaba ndindindiiii aliyoyapata toka kwa Bi Khadija.
Wanawake kama Bi Khadija wana nafasi yao special kabisa peponi.
 
Vizuri.
Hayohayo uliyoyataja hakikisha unamfanyia vivyohivyo. Ili naye akiulizwa ajibu kuwa amepata Mwanamke special mwenye Sifa hizohizo ulizotaja.

Hicho ndicho ninachoandikaga humu. Ila ninyi vichwa ngumu hamtaki kunielewa
🤣🤣🤣🤣Am lovable and supportive spiritually namuombea sana azidi kufanikiwa.
 
Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA.

Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.

Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au mdoli ambao kazi kukugeuza msukule.
Hapa tunazungumzia Wanawake WA maana, wasio wabinafsi, hapa tunazungumzia kina Bi. Khadija aliyemsapoti Mtume Muhammad na mwenye mchango mkubwa kwenye Dini kubwa na kongwe ya Uislam.

Hapa tunazungumzia Wanawake sampuli ya kina Sarah Mkewe Ibrahim, tunazungumzia Abigail Mkewe Daudi, tunazungumzia kina Maria Magdalena Rafiki wa Yesu aliyekuwa akimsapoti Yesu. Tunazungumzia Sipora Mkewe Nabii Musa. Hao ndio Wanawake ambao Kiuwiano wapo mmoja Kati ya Mia moja.

Vijana, nendeni Kwa matajiri watawapa Siri Hii. Usione matajiri Wana wake zao, ukasema mbona kale kamwanamke ni kabovu lakini jamaa anakang'ang'ania, nakupa Siri tuu, Mwanamke lazima awe Supportive, Msaidizi, ambaye sio Nyonyaji, yaani asiwe anawaza tuu kuhudumiwa n kujitanguliza mbelembele kisa ubinafsi wake.

Ukipata Mwanamke anayejitanguliza Mbele n mbinafsi umekwisha wewe.

Taikon nayasema haya Kutokana na vijana na wanaume wengi kupoteza muelekeo wa kimaisha.
Vijana wengi wamejikuta wakihenyeka,wakiteseka, wakipigwa kanyaga twende na malipo Yao huwa ni lawama na majuto.

Ndugu zangu, Mtume Muhammad (SWA) moja ya Watu mashuhuri zaidi Duniani WA muda wote hakuwa mjinga kuwa na Mwanamke Bora Bi. Khadija.
Role ya Bi. Khadija Kwa Muhammad ni kubwa na isiyosahaulika, Huwezi utajua uislam na MUHAMMAD pasipo kumtaja Bi. khadija. Never ever.

Sio kwamba MUHAMMAD hakuwa na Wake wengine, walikuwepo lakini Daraja la Bi. Khadija ni kubwa na lajuu zaidi kuliko hao wengine.

Huwezi mtaja Yesu na Ukristo pasipo kumtaja Maria Magdalena, hilo haliwezekaniki. Magdalena ndiye aliyekuwa bega Kwa bega na Yesu mpaka mwisho. Sio kwamba hakuna Wanawake wengine. Wapo. Nachelea kusema kama Yesu angeoa Basi angemuoa Magdalena.

Sababu kubwa ni kuwa ni nadra Sana Kupata Mwanamke mwenye Roho ya ukarimu na kupenda kama walivyo kina Bi. Khadija, Magdalena, Sipora, Sarah na majike mengine ya shoka.

ASIJE akakudanganya yeyote na mitazamo ya kijinga, ukipata MKE Umepata kitu Bora Sana. Lakini hapa tunazungumzia Mwanamke asiye mbinafsi, mwenye Upendo na ukarimu.

Sio unajitutumua kuhudumia limwanamke ambalo siku ukifukuzwa kazi linakukimbia, sio unahudumia Mwanamke ambaye siku ukifilisika linachanja mbuga na kukuacha.
Vijana, kitu pekee ambacho kitakujulisha kuwa Mwanamke uliyenaye ni WA Aina gani ni kuangalia ushiriki wake wa kiuchumi kwenye Maisha yako.

Ogopa Mwanamke wa chake ni chake, chako chawote. Hiyo ni mdudu Mbaya, kupe Nyonyaji. Ogopa Mwanamke ambaye linajitanguliza kimbelembele na kutaka lenyewe ndio ulitumikie.
Sisi Watibeli naam Aina ya kina Mtume Muhammad SWA, kina Yesu, kina Daudi, kina Ibrahim, na Musa na watu wengine wenye mitazamo kama yetu hatukubali ku-date na Makupe Nyonyaji. Na kamwe hatutaweza kuwa Misukule ya Watu wengine.
Na hatutaki Watu wawe Misukule yetu.

Vijana, hakuna Jambo zuri kwako kama kuishi na Mwanamke mwenye Roho ya ukarimu, upendo na kutoa kama ulivyo wewe.

Ogopa Mwanamke ambaye akitoa kipesa chake anakunja USO, ogopa Mwanamke ambaye akitoa kitu kidogo analalamika, hiyo ni fisadi, hasidi, kupe Nyonyaji, hakupendi. Na wanaume wa aina yetu naam Sisi Watibeli tunafukuza mara moja. Ni akheri uishi pekeako kuliko kuishi na Mwanamke mpigaji, yaani unaoa Mwanamke na kumuita Mkeo ambaye ni adui yako. Na wengi wanateseka Kwa sababu Hii.

Sisi Watibeli, tunasema ndoa ni nzuri ikiwa hakuna Utapeli iwe Utapeli Kwa Mwanamke au Mwanaume.

Hoja ya kuhudumia MKE wako ni hoja iliyodhahiri. Lakini kamwe usihudumie jitu tapeli, Nyonyaji, binafsi. Jitu ambalo sio MKE lakini lilikulaghai na kujifanya MKE.

Mhudumie Mwanamke wako ikiwa unajua kabisa hata siku ukiwa apeche Alolo atakuhudumia. Mwanamke ambaye mnasaidiana Maisha. Huyo ndio Mwanamke anayestahili kuitwa jina MKE.

Lakini ukishaona Mwanamke anazile pigo za kulalamika kuwa ametoa Pesa yake sijui anajitanguliza mbelembele huku hakujali wewe. Huyo piga Chini mara moja. Hakunaga familia ya maana iliyowahi kujengwa hivyo.

Mwanamke mbinafsi anajiwaza mwenyewe na watoto wake. Lakini Mwanamke mwenye Upendo, nazungumzia kina Bi. Khadija anamjali Kwanza mumewe ndipo wengine wafuate.
Sio ajabu siku ukizeeka Mkeo akakukimbia na akaenda Kwa Watoto wako na kukugombanisha na watoto wako ili uhenyeke na wengi WA Wazee wetu tumewaaona na ushahidi upo.

Ndugu zangu, najua kuna wenye Akili nzito hawatanielewa nazungumzia nini.

Kamwe, abadani usikubali kuishi na MTU mbinafsi ndani ya nyumba, usikubali kuweka Roho na Maisha yako rehani Kwa Mwanamke tapeli. Maisha yako ni yathamani kubwa.

Hivyo ndivyo utakavyofurahia Maisha MTU wangu. Hivyo ndivyo utakavyojivunia familia yako, yaani Mkeo na watoto.
Lakini ukijikoroga utakuwa kituko na kichekesho Dunia ingalipo.

Ogopa kuishi na Nyoka ndani ya nyumba. Unapoambiwa uishi na Mwanamke Kwa Akili hiyo ndio maana yake.
Wasije wakakuzidi Akili Kwa kukusifia ujingaujinga, ATI wewe ni Mwanaume Bhana, nihudumie bhana, jinyime kwaajili yangu bhana! Wakati lenyewe halifanyi chochote. Huko ni kuzidiwa Akili na wanawake. Pumbavu Kabisa!

Tumieni Akili za kiume na sio hisia za kiume. Huruma na kasumba za kijinga zimewaua wengi na kuwatesa wazee wenu.

Msije sema Taikon sikusema, Mimi nimemaliza.

Acha nipumzike SASA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
umenifungua sana, shukrani
 
🤣🤣🤣🤣Am lovable and supportive spiritually namuombea sana azidi kufanikiwa.

Hakuna kitu kama hicho.
Mambo ya rohoni hudhihirika Kwa Njia ya mwili.
Imani pasipo Matendo imekufa.

Ninyi ndio wachungaji matapeli. Mnaombea Watu alafu ninyi mnataka mpewe Pesa, sadaka. Utapeli tuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣Haki Umenichekesha Leo .

Acheni Utapeli wenu.

Ni Sawa na Baba Hatoi Pesa ya matunzo Kwa mtoto alafu mtoto anasomeshwa na wengine alafu mwenyewe anakuambia nilikua nakuombea. Uhuni na Utapeli mtupu!

Sema nisamehe mwanangu, sikuwa Baba Bora kwako, sikuwajibika. Watu tutakuelewa sio useme nilikuwa nakuombea. Tangu lini maombi yakasomesha au kutunza mtu?

Maombi na maneno matupu ni Lugha za matapeli
 
Back
Top Bottom