TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

RIP malkia wa taarab Nasam Hamis 'kidogo'

Masanilo,,.....hapa tunatoa heshima kwa marehemu, we habari ya kuugua kwa muda mrefu inaanzia wapi tena.....
 
RIP malkia wa taarab Nasam Hamis 'kidogo'

Masanilo,,.....hapa tunatoa heshima kwa marehemu, we habari ya kuugua kwa muda mrefu inaanzia wapi tena.....

Katika kuonyeshea hisia na uchungu wa kuondokewa na malkia wa mipasho, vidole juu...ndo nilitaka habarishwa kilicho mtoa uhai, Mungu amrehemu wote tupo njia moja!
 
Rip nasma khamis kidogo
tutakukumbuka sana kwa kibao cha mtu mzima hovyo
 
R.I.P. Nasma,Wapenzi wa Taarabu tungependa kuendelea kukuona lakini Mwenyezi Mungu anakupenda zaidi. Tangulia mbele ya haki wote tunaelekea huko na kazi ya Mungu haina makosa, Amen!
 
ahh inna lillahi wa inna illahu raj'uun

lakini aliyekuwa akinuvutia zaidi ni marehemu LAYLA KHATIB
 
Ah masikini Mchuma ndo umeondoka huo. RIP dada uliukonga moyo wangu kwa kibao chako cha Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!

Eh kweli udongo unafaidi!
 
RIP Bi Nasma Kidogo ulileta changamoto sana kwa Bi.Khadija Kopa kipindi kile cha miaka ya mwisho ya 90... Muungano Cultural Troupe.

Yes mkuu nakumbuka yale mambo ya.....jamani eeh ana nini? waduduuu...! wadogowadogo....wanamnyevuanyevua....! taarab imo..tarabu imo..kaona mambo iko huku we....etc! Dah namkumbuka sana huyu bibie na Khadja Kopi ....mtani wake wa jadi enzi zile!

RIP NASMA KIDOGO!
 
1245666321_nasma_kidogo_crop.jpg
kwa wasio kuwa wanamfahamu au mlisahau sura yake ndo huyu hapa.
 
Poleni sana wana mipasho, namkumbuka sana marehemu enzi hizo wakipashana na Hadija Kopa, oooh sanamu ya michelin akimuimba khadija
 
Dah...pengo hilo kwa sisi wakereketwa wa vidole juu....
RIP....Nasma.
 
Back
Top Bottom