TANZIA Bi. Saada Ali Hassan amefariki Dunia katika hospitali ya Mnazi Mmoja

TANZIA Bi. Saada Ali Hassan amefariki Dunia katika hospitali ya Mnazi Mmoja

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Oho God. Mzee wa watu , Mtanzania huyu. Kipigo kimemfanya atoke duniani. Hiki kilio hakitawaaacha salama wanasiasa na vyombo vilivyoshiriki kuwatesa Watanzania .

Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Bi Saada Ali Hassan ambaye amefariki majira ya saa saba za usiku katika hospital ya Mnazi Mmoja. Idadi waliopoteza maisha yao kama sehemu ya uchaguzi inaongezeka

Poleni wafiwa na HAKI itapatikana tu Insha’Allah Pumzika kwa amani

IMG_20201208_100502.jpg
 
Wakati tunawaonya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wengi mlikaza shingo.
R.i.P Bibi, yamkini ungelijua kwamba leo ulie mpigania ndio kwanza anakula meza moja na mtesi wako...[emoji25]
Duh inauma sana.

Anaungana na mtesi kutekeleza matakwa yake maana yeye hana mamlaka kisheria wala uwezo wa kubadili chochote kwa kuwa bunge linamilikiwa na mtesi.

Na katiba haijampa mamlaka yeyote ya kiutendaji makamu wa kwanza wa rais.
 
Eti tutaandamana!! Weee tangulia wewe na mkeo. Muulizeni yule wachato aliyepigwa jiwe akaanza achamungu mnanipiga jiwe !!! Ha ha ha,
Mdee nawenzake washakula kiapo na mkopo wa v8 tayari. Yeye kabaki na ngeo.
 
Eti tutaandamana!! Weee tangulia wewe na mkeo. Muulizeni yule wachato aliyepigwa jiwe akaanza achamungu mnanipiga jiwe !!! Ha ha ha,
Mdee nawenzake washakula kiapo na mkopo wa v8 tayari. Yeye kabaki na ngeo.
Hivi nyinyi wengine mbona huwa wapumbavu saana!! sasa hapa unashabikia ujinga wa police wa ccm ?, stupid kabisa, hivi mnadhanai tukiendelea kuwachekea hawa polisi kuna siku watakuja kuheshimu haki za binadamu ?

Ujue, hakuna mahala popote ambapo polisi anaruhusiwa na sheria kumpiga mtu, sheria inataka mtu anapokosa apelekwe mbele ya mahakama, Hakimu ndie anaeweza kutoa hukumu, sasa hapa polisi wanapiga na kujeruhi watu kabla ya kuwapeleka mahakamani, ni kosa kubwa polisi kumpga mtu anapokuwa kwenye maandamano kwa sababu maandamano yapo kwa mujibu wa sheria za nchi, sio za ccm
 
Hivi nyinyi wengine mbona huwa wapumbavu saana !!, sasa hapa unashabikia ujinga wa police wa ccm ?, stupid kabisa, hivi mnadhanai tukiendelea kuwachekea hawa polisi kuna siku watakuja kuheshimu haki za binadamu ?, ujue, hakuna mahala popote ambapo polisi anaruhusiwa na sheria kumpiga mtu, sheria inataka mtu anapokosa apelekwe mbele ya mahakama, Hakimu ndie anaeweza kutoa hukumu, sasa hapa polisi wanapiga na kujeruhi watu kabla ya kuwapeleka mahakamani, ni kosa kubwa polisi kumpga mtu anapokuwa kwenye maandamano kwa sababu maandamano yapo kwa mujibu wa sheria za nchi, sio za ccm
Hapa siwatetei police, tatizo letu watanzania nikuhamasishwa kufanya vurugu wakati anaekuhamasisha yeye haji kushiriki, yeye na familia yake hawapo, sasa huyo ndugu yetu kafariki, Maalim Seif kapata uteuzi nani mjinga??
 
Tafsiri sahihi ya maandamano ni VURUGU!. sasa inakuwaje uambiwe kuandamana na anaekuambia hashiriki? Jihoji halafu ukipata jibu chukua hatua.
 
Mkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizo
Usimtetee kabisa maana alikuwa akiongea anaweka msisitizo wa ushari na kuhamasisha vurugu, viko wapi sasa leo anaapishwa wengine wanauguza majeraha, Visiwani igeni tabia ya Bara wenzenu tunawasikiliza tu na kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii lakini kwenye vurugu huwa tunawaambia watangulie wao na familia zao na Sisi tuwafuate,

Ila huyu mama yangu sijui yamemsibu yepi maana siamini kama alishiriki ktk vurugu
 
Kwa hiyo wewe unaona walichokifanya police ni sawa ?, kusababisha kifo cha huyo Mama ?.
Maalim Seif alitakiwa kuwa wa Kwanza kulaani na kuwa na msimamo ule ule alio wapandikiza mashabiki wake pia angegomea uteuzi. Sisi tunalaani Kwa binadam kutolewa uhai Kwa njia yoyote ile iwe police wameshiriki au raia wa kawaida
 
Back
Top Bottom