MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Hujui kilichomtokea huyu bibi, hakuwa sehemu ya walioandamana wala kuingia barabarani... ni bomu lililushwa katika nyumba aliyokuwa amelala..Wakati tunawaonya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wengi mlikaza shingo.
R.i.P Bibi, yamkini ungelijua kwamba leo ulie mpigania ndio kwanza anakula meza moja na mtesi wako...[emoji25]