Mkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizoMaalim anaona poa tu ili mradi yeye ale.
Kisayansi unapozidi kuwa mzee akili zinakuwa za kitotoHii si bure ni laana, hivi mtu mzima kama huyo unaanzaje hata kumpiga kibao??? Hata kama kakuudhi vipi au kakukera vipi aise (Achilia mbali kuandamana au kuvaa nguo za upinzani).
Hayo maandiko sometime si ya kuyaamini sanaHata maandiko ya vitabu vya Dini yanasema tii sheria za watawala wa nchi.
Naye kajiunga nao, laana naimkuteMkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizo
Kwa hiyo wewe unaona walichokifanya police ni sawa ?, kusababisha kifo cha huyo Mama ?.Naye kajiunga nao, laana naimkute
Duh inauma sana.Wakati tunawaonya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wengi mlikaza shingo.
R.i.P Bibi, yamkini ungelijua kwamba leo ulie mpigania ndio kwanza anakula meza moja na mtesi wako...[emoji25]
Tushasema mambo ya siada waachieni wanasiasa na familia zao hamtaki kusikia!! Ndg yetu katutoka maarim seif anakula bata. Familia inahangaika.Mkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizo
Hivi nyinyi wengine mbona huwa wapumbavu saana!! sasa hapa unashabikia ujinga wa police wa ccm ?, stupid kabisa, hivi mnadhanai tukiendelea kuwachekea hawa polisi kuna siku watakuja kuheshimu haki za binadamu ?Eti tutaandamana!! Weee tangulia wewe na mkeo. Muulizeni yule wachato aliyepigwa jiwe akaanza achamungu mnanipiga jiwe !!! Ha ha ha,
Mdee nawenzake washakula kiapo na mkopo wa v8 tayari. Yeye kabaki na ngeo.
Umejaa makamasi kichwani badala ya ubongoHata maandiko ya vitabu vya Dini yanasema tii sheria za watawala wa nchi.
Hapa siwatetei police, tatizo letu watanzania nikuhamasishwa kufanya vurugu wakati anaekuhamasisha yeye haji kushiriki, yeye na familia yake hawapo, sasa huyo ndugu yetu kafariki, Maalim Seif kapata uteuzi nani mjinga??Hivi nyinyi wengine mbona huwa wapumbavu saana !!, sasa hapa unashabikia ujinga wa police wa ccm ?, stupid kabisa, hivi mnadhanai tukiendelea kuwachekea hawa polisi kuna siku watakuja kuheshimu haki za binadamu ?, ujue, hakuna mahala popote ambapo polisi anaruhusiwa na sheria kumpiga mtu, sheria inataka mtu anapokosa apelekwe mbele ya mahakama, Hakimu ndie anaeweza kutoa hukumu, sasa hapa polisi wanapiga na kujeruhi watu kabla ya kuwapeleka mahakamani, ni kosa kubwa polisi kumpga mtu anapokuwa kwenye maandamano kwa sababu maandamano yapo kwa mujibu wa sheria za nchi, sio za ccm
Usimtetee kabisa maana alikuwa akiongea anaweka msisitizo wa ushari na kuhamasisha vurugu, viko wapi sasa leo anaapishwa wengine wanauguza majeraha, Visiwani igeni tabia ya Bara wenzenu tunawasikiliza tu na kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii lakini kwenye vurugu huwa tunawaambia watangulie wao na familia zao na Sisi tuwafuate,Mkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizo
Maalim Seif alitakiwa kuwa wa Kwanza kulaani na kuwa na msimamo ule ule alio wapandikiza mashabiki wake pia angegomea uteuzi. Sisi tunalaani Kwa binadam kutolewa uhai Kwa njia yoyote ile iwe police wameshiriki au raia wa kawaidaKwa hiyo wewe unaona walichokifanya police ni sawa ?, kusababisha kifo cha huyo Mama ?.