Hujui kilichomtokea huyu bibi, hakuwa sehemu ya walioandamana wala kuingia barabarani... ni bomu lililushwa katika nyumba aliyokuwa amelala..Wakati tunawaonya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wengi mlikaza shingo.
R.i.P Bibi, yamkini ungelijua kwamba leo ulie mpigania ndio kwanza anakula meza moja na mtesi wako...[emoji25]
Polisi wa Tanzania wanadhani kila jambo lazima watumie nguvu tuHii si bure ni laana, hivi mtu mzima kama huyo unaanzaje hata kumpiga kibao??? Hata kama kakuudhi vipi au kakukera vipi aise (Achilia mbali kuandamana au kuvaa nguo za upinzani).
Wakati tunawaonya kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wengi mlikaza shingo.
R.i.P Bibi, yamkini ungelijua kwamba leo ulie mpigania ndio kwanza anakula meza moja na mtesi wako...[emoji25]
AiseeeHujui kilichomtokea huyu bibi, hakuwa sehemu ya walioandamana wala kuingia barabarani... ni bomu lililushwa katika nyumba aliyokuwa amelala..
Damu yake itamlilia fulani yeye mpaka kizazi chake cha nne.Oho God. Mzee wa watu , Mtanzania huyu. Kipigo kimemfanya atoke duniani. Hiki kilio hakitawaaacha salama wanasiasa na vyombo vilivyoshiriki kuwatesa Watanzania .
Nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Bi Saada Ali Hassan ambaye amefariki majira ya saa saba za usiku katika hospital ya Mnazi Mmoja. Idadi waliopoteza maisha yao kama sehemu ya uchaguzi inaongezeka
Poleni wafiwa na HAKI itapatikana tu Insha’Allah Pumzika kwa amani
View attachment 1644429
Lilimlenga huyo lililyempigaSawa hilo bomu lilikuwa limemlega nani?
Sawa hilo bomu lilikuwa limemlega nani?
vijana walikuwa mwanakwereke wanakunywa ssupu ya pweza kuimarisha nguvu za kiumevijana wanakuwa wamejikunyata mpaka bibi zao wanalazimika kwenda frontline
Lakini Mama si alikua miongoni mwa Watu waliokua wanatekeleza maagizo ya Maalimu Seifu,ya uvunjifu wa Sheria!?Mkuu lakini Maalim Seif sie aliyemdhuru huyu Mama, ni policcm ndio wanastahili lawama/laana hizo
Wewe wenyewe umeweka mzaha kwenye hilo.