TANZIA Bi. Saada Ali Hassan amefariki Dunia katika hospitali ya Mnazi Mmoja

Who is she na alifanya nini? Mbona story fupi za mafumbo?
 
Ushauri wangu tu kwa wadau humu
Acheni na mambo ya wanasiasa kuwasikiliza
Ishini maisha yenu wanasiasa wanawatumia watu kama mitaji tu

Ova
 
Tafsiri sahihi ya maandamano ni VURUGU!. sasa inakuwaje uambiwe kuandamana na anaekuambia hashiriki? Jihoji halafu ukipata jibu chukua hatua.
Maandamano sio vurugu japo yanaweza kugeuka vurugu.

RIP Bibi...
 
kila mtu hulipwa haki yake anayostahili Maalim SEIF kapewa umakamu wa uraisi na wengine wamepewa ngeu na vilema kama haki yao ya kukataa kutii sheria bila shuruti

Ni wajibu wa kila mmoja kushukuru kwa alichopata kama haki yake
 
Huyu Bibi alipigwa akiwa wapi? Au walijua kavaa masiki mpaka kumshushia kipigo!?
 
Ndio maana nikiwaona tu polisi popote kuna hasiraaa inanijia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…