Bi Sandra afunguka kuhusu mumewe Shamte kuzaa nje ya ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa Tambaza ulimiliki ardhi ya Upanga kama mashamba yao miaka hiyooo.
 
Upanga ilikuwaga mashamba kumbe nayo pia aisee;
 
Kuwa na umri wa bi Sandra halafu uolewe na mwanaume mwenye umri wa Shamte na ujihakikishie upo mwenyewe ni ujinga, Shamte anahitaji watoto na anahitaji maendeleo, kulelewa na kupangiwa safari na Sandra kwake ni project tu ya kumuingizia kipato na ufanya utalii wa dunia hii. Kuna siku atamtema kabisa bibi.
 
Bibi ana jinasibu ana watoto ma super star wanatingisha jiji. Bi Sandra taratibu basi.
 
Bibi ana jinasibu ana watoto ma super star wanatingisha jiji. Bi Sandra taratibu basi.
Yaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
 
Shangaa wewe wakati Jumba la vioo la babu Mengi tumelijua kisa msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…