ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Unadhani mie siyajui?shamte ni Muslim,sheria wa4...kwa hiyo bado sana !! BTW tutofautishe mapenzi na maisha.Si kawaida kwa fundi wa mapenzi kama alivyo jinasibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani mie siyajui?shamte ni Muslim,sheria wa4...kwa hiyo bado sana !! BTW tutofautishe mapenzi na maisha.Si kawaida kwa fundi wa mapenzi kama alivyo jinasibu
Kila sehemu ilikuwa mashamba na mapori mzee babaUpanga ilikuwaga mashamba kumbe nayo pia aisee;
Mzee wangu alikuwa wapi kujikatia kapori pale posta!Kila sehemu ilikuwa mashamba na mapori mzee baba
😂😂😂😂😂😂babangu ana bonge la pori mnazi mmojaMzee wangu alikuwa wapi kujikatia kapori pale posta!
Fanya Fanya tuwahi Dodoma😂😂😂😂😂😂babangu ana bonge la pori mnazi mmoja
Mara mia aiseeeBora ya shilole mume wake fundi gereji
Kwa issue ya kuwekeza kwenye vibanda huyo dogo anavyo nina jamaa yangu waliuza nyumba ya family na alinunua domoYaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walionjana wale wakaachana kwenye utamu si bure
Kwani uongo mbona hatumjadili mama angu humu si vile sijulikaniBibi ana jinasibu ana watoto ma super star wanatingisha jiji. Bi Sandra taratibu basi.
Walimiliki babu wee wana nini siku hizi zaidi ya ushamba wa utoto wa mjini uso na kichwa wala miguuWhat Diamond's Mother Said About Her Lover Cheating and Fathering Child With Younger Woman - Nairobi Wire
Sandra Kassim, the mother of Bongo superstar Diamond Platnumz, has responded to reports that her lover Rally Jones cheated on her and impregnated a much younger woman. The said woman, only identified as Sharifa, reportedly gave birth recently. In an audio recording shared widely in Tanzania’s...nairobiwire.com
Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa Tambaza ulimiliki ardhi ya Upanga kama mashamba yao miaka hiyooo.