Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaaaaaa
Mzee wangu alikuwa wapi kujikatia kapori pale posta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wangu alikuwa wapi kujikatia kapori pale posta!
Hahaaaahaaa....Watanzania inabidi tumpongeze huyo sharafaa kafanya kazi nzuriii maana huyu bibi kwa mdomooo
Mange kamkalia kooni Bibi Sandra hahaha mjini hatuhami jamani hata ukiwa na stress unajikuta zimeisha
Jamaa namjua vzr ni mtu ambaye anapendaga kulelewaBibi hayuko tayari kimuacha aende mjini patamu
Mjini shule. Dar form six. Kila mtu ana mbinu ya kuishi mjiniJamaa namjua vzr ni mtu ambaye anapendaga kulelewa
Kitambo sana ndy style zake
Ila alipompata mama hyu duh nkaonaga kweli sasa Mai amepata[emoji23]
Hyu mluguru ni balaa kwa wale wa moro watakuwa wnamjua
Ila acha tumwache maana kuna wakati alipitia wkt mgumu kdg
Ovva
Bora lkn awe Ganda la ndiziMjini shule. Dar form six. Kila mtu ana mbinu ya kuishi mjini
Tambaza navyojua Mimi inakirefu nashangaa kusikia ni ukooWhat Diamond's Mother Said About Her Lover Cheating and Fathering Child With Younger Woman - Nairobi Wire
Sandra Kassim, the mother of Bongo superstar Diamond Platnumz, has responded to reports that her lover Rally Jones cheated on her and impregnated a much younger woman. The said woman, only identified as Sharifa, reportedly gave birth recently. In an audio recording shared widely in Tanzania’s...nairobiwire.com
Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa Tambaza ulimiliki ardhi ya Upanga kama mashamba yao miaka hiyooo.
Wewe nawe mchokozi , unaangalia kwanza mazingira ya Shikamoo kabla hujaitoa.Bora lkn awe Ganda la ndizi
Huyu jamaa ashanasaga kule kwa ayatollah
Alikuwaga msafiri zamani
Ni rafiki sana wa mchz wngu mmja wote wazee wa kitonga
Kuna siku tulikuwa sehemu mitaa ya American chips jamaa alipita na alphard wakati tunasalimiana na jamaa
Mai akatutambulisha akasema hyu ndy shemeji yenu "nkamslimia bim dashi shikamooo nkaonaaaa kimyaaa hajibuu "[emoji23]
Ila jamaa kauzu
Ova
Hapendi shikamoooWewe nawe mchokozi , unaangalia kwanza mazingira ya Shikamoo kabla hujaitoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa wana maneno matamu, unaweza kujiona miss world wakati anatafuna pesa yako
DuhUnajijua kabisa kuwa umekuwa fursa lakini unapata mtu wa kuku massage mpaka masagamba ta miguu.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🙇♂️🙇♂️😂😂😂😂😂😂why should you have stress in your life? We have Da Mange to take care of your stress life... 😜😜😜