Bi Sandra afunguka kuhusu mumewe Shamte kuzaa nje ya ndoa

Huyu Bibi sijui anaifurahia Gogo la yule Dogo, ila kuwa Kiben10 ni raha zaidi
 
Yaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
Kwa issue ya kuwekeza kwenye vibanda huyo dogo anavyo nina jamaa yangu waliuza nyumba ya family na alinunua domo
 
Walimiliki babu wee wana nini siku hizi zaidi ya ushamba wa utoto wa mjini uso na kichwa wala miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…