Bi Sandra afunguka kuhusu mumewe Shamte kuzaa nje ya ndoa

Mambo yao waachie wenyewe...

Huyo mama Diamond nae anagombaniana nini na watoto wadogo...


Cc: mahondaw
 
Kwani uongo mbona hatumjadili mama angu humu si vile sijulikani
Aisee! Mamako naye kicheche anakula viben10 kama huyu? Mara ingine usiwe unaandika out of mind, utamdhalilisha mama yako bure.
 
Pale penye shule ya Tambaza napo palikua shamba!! Kumbe
 
Mjini akili..maneno unafundishwa
 
Mama angeacha kusifi mtoto amuelekeze awekeze maana haijui kesho, huyo mama mwanae akipotea leo atapata tabu sana, Domo awekeze mama asimamie miradi aache kujitangaza mitandaoni kama binti wa miaka 18.

Sio rahisi hivyo, wametoka kwenye umasikini, bado kwanza acha wazoee hiyo hali, watatulia.
 
Ukiona mtu anakupenda kwa ajili ya pesa zako basi andika umeumia.
Sio kweli mbona ni hakuna anaenipenda kikweli ila naenjoy kupendewa pesa ,nikituma mm SMS njo nkutie anaachana na true lv anakuja ,demu unauhakika anakupendea hela unamla ka Malaya raha sana ,hakuna kufumaniwa wala uko wapi ? Plus service wasizopewa wanakula bure kwa kutargetiwa ndoa
 
Kijana alimchagua Wema over dada yake nisikiavyo dada ni uzuri wa mkakasi ndani hukoo hygiene ni 0
Na hili ni tatizo kwa 80% ya wanawake
Wanakazania kuwekeza kwenye nywele na kucha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…