Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.
Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza kwa makini zaidi utagundua hakuna mkristo hata mmoja ambaye Bi Sandra amemfollow ,na kama itatokea kuna mkristo amemfollow basi huyo ni team Bi Sandra kupindua ambaye 24/7 anakesha insta kumpamba Bi Sandra.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kumkwepa au kumkataa pia Queen Darlin, sasa sijui kisa ni mtoto wa mke mwenza kwa mzee Abdul?