Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Je Bi Sandra kakuambia au unabuni majungu??Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.
Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza kwa makini zaidi utagundua hakuna mkristo hata mmoja ambaye Bi Sandra amemfollow ,na kama itatokea kuna mkristo amemfollow basi huyo ni team Bi Sandra kupindua ambaye 24/7 anakesha insta kumpamba Bi Sandra.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kumkwepa au kumkataa pia Queen Darlin, sasa sijui kisa ni mtoto wa mke mwenza kwa mzee Abdul?
kuniambia kitu gani wakati mambo yapo wazi kabisa.
Hahaha mkuu
Aisee.Yani mtoto wakiume akiandika vitu kama hivi naumia kwakweli
Hahaa. N
sijui nae anajisikia "KOMFOTABO"
We ni mmoja unaesababisha upungufu wa wanaume
Wanaume tumebaki wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada aya mambo waachie hawa kina dada ona sasa kumbe hata hujui kituharmonize, ricardomomo, salam sk, babu tale wote hawa hajawafollow unaweza kutuambia sababu ni nini?
Maana inaonekana unamjua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa.
hahahaa