Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama sioni kama anazo qualities zinazohitajika

Anaweza akawa mzuri kuandika au kujenga hoja ndani ya chama Ila siyo kwenye majukwaa. Anaweza akawa na connection Ila siyo kumkabidhi kiti kama hiki.

CCM Kwa sasa ina Katibu Mkuu asiye na ushawishi mkubwa na anayechipukia, ilipaswa iwe na Mwenezi kutoka kwenye siasa za majukwaa...watafute mtu wa lumuli nyingi contrary watakuja kushtuka uchaguzi huu hapa, mazingira magumu itawalazimu kurudi kwenye goli la mkono
 
Umezoea waropokaji.
Na wakiropoka unaanza jingine.
Mama hataki waropokaji ccm bila mropokaji imejiweza,
 
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama sioni kama anazo qualities zinazohitajika

Anaweza akawa mzuri kuandika au kujenga hoja ndani ya chama Ila siyo kwenye majukwaa. Anaweza akawa na connection Ila siyo kumkabidhi kiti kama hiki.

CCM Kwa sasa ina Katibu Mkuu asiye na ushawishi mkubwa na anayechipukia, ilipaswa iwe na Mwenezi kutoka kwenye siasa za majukwaa...watafute mtu wa lumuli nyingi contrary watakuja kushtuka uchaguzi huu hapa, mazingira magumu itawalazimu kurudi kwenye goli la mkono
Baniani mbaya kiatu chake ni dawa. Mtu sahihi kwa nafasi hiyo kwa sasa ndani ya CCM ni Paul Makonda.
 
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama sioni kama anazo qualities zinazohitajika

Anaweza akawa mzuri kuandika au kujenga hoja ndani ya chama Ila siyo kwenye majukwaa. Anaweza akawa na connection Ila siyo kumkabidhi kiti kama hiki.

CCM Kwa sasa ina Katibu Mkuu asiye na ushawishi mkubwa na anayechipukia, ilipaswa iwe na Mwenezi kutoka kwenye siasa za majukwaa...watafute mtu wa lumuli nyingi contrary watakuja kushtuka uchaguzi huu hapa, mazingira magumu itawalazimu kurudi kwenye goli la mkono
Uenezi wampe P,ni mawazo ya bure sitaki hata pesa yao kwa ushauri wangu🏃
 
Nafasi hiyo angepewa Kibajaji au Msukuma

Nape ndio Katibu mwenezi maarufu zaid kama alivyo Mzee Makamba kuwa katibu Katibu Mkuu maarufu zaid japo ndio wepesi zaid kishule

Hata Mzee Wassira angefaa....Sana hapo
 
Washaona hakuna upinzani utakao wasumbua. Lisu kazi yake kelele za kulipwa stahiki na gharama za matibabu! Kalipwa sasa amebaki tu kupambana na marehemu
sukuma gang mwisho wenu 2025 hata udiwani hampati na mtafutika kabisa muende chato kulinda legasi.
 
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama sioni kama anazo qualities zinazohitajika

Anaweza akawa mzuri kuandika au kujenga hoja ndani ya chama Ila siyo kwenye majukwaa. Anaweza akawa na connection Ila siyo kumkabidhi kiti kama hiki.

CCM Kwa sasa ina Katibu Mkuu asiye na ushawishi mkubwa na anayechipukia, ilipaswa iwe na Mwenezi kutoka kwenye siasa za majukwaa...watafute mtu wa lumuli nyingi contrary watakuja kushtuka uchaguzi huu hapa, mazingira magumu itawalazimu kurudi kwenye goli la mkono
Hiki ni kitafunwa cha dingi wa Msoga.
 
Washaona hakuna upinzani utakao wasumbua. Lisu kazi yake kelele za kulipwa stahiki na gharama za matibabu! Kalipwa sasa amebaki tu kupambana na marehemu
Kwanin usiwe wewe mpinzani imara, kwani huyo Lisu ulimpeleka shule ya upinzani.
 
Mwanzoni nilijua ni mswahili kumbe sivyo. Nafasi ya uenezi inawafaa waswahili; wanaimudu! Chama kimeingia chaka.
 
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama sioni kama anazo qualities zinazohitajika

Anaweza akawa mzuri kuandika au kujenga hoja ndani ya chama Ila siyo kwenye majukwaa. Anaweza akawa na connection Ila siyo kumkabidhi kiti kama hiki.

CCM Kwa sasa ina Katibu Mkuu asiye na ushawishi mkubwa na anayechipukia, ilipaswa iwe na Mwenezi kutoka kwenye siasa za majukwaa...watafute mtu wa lumuli nyingi contrary watakuja kushtuka uchaguzi huu hapa, mazingira magumu itawalazimu kurudi kwenye goli la mkono
Siasa za majukwaa ni za vyama vichanga kama CHADAMA; wewe ulishaona askofu wa kanisa katoliki njia panda akihubiri dini na kuponya watu?
 
Nafasi hiyo angepewa Kibajaji au Msukuma

Nape ndio Katibu mwenezi maarufu zaid kama alivyo Mzee Makamba kuwa katibu Katibu Mkuu maarufu zaid japo ndio wepesi zaid kishule
Nape huyu ambaye chama kilitaka kumfia mikononi kama ttcl ilivyomfia mikononi?

Chombo alikuwa Polepole. Haitatokea tena. Alikuwa hadi anakera. Hadi akiwa kwenye gari anaeneza kazi za ccm kupitia miundombinu ya barabara.
 
Back
Top Bottom