Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

CCM haina watu wengine tena , imefikia mwisho wake wa kawaida , hakuna kinachodumu milele
 
Saahisha Mafue pressure itakuua.
 
Hiyo nafasi kwa sasa imekiea ya majalibio!
 
Nimekuelewa SANA na naunga mkono hoja
 
Hiyo nafasi wangempa Jesca Msambatavangu-Mbunge Iringa Mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…