Bia Bingwa imerudi?

Bia Bingwa imerudi?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Wakuu nimekutana na rafiki yangu Arusha ametoka safarini Iringa amekuta huko bia ya Bingwa akaja na chupa kadhaa. Hii bia kumbe imerudi tena? Ilipotea kitambo sijawahi kuiona.
 
Hii bia konyo sana, watu walikua wanajipupulia....

fd6ec323d34100ae3e25508eb17cb70b_640x640.jpg
 
Back
Top Bottom