Bia Bingwa imerudi?

Duh pole mkuu. Ukaamua kuikimbia mpaka States?....!!!!
 
Bia Bingwa haikuachwa kutengenezwa, ipo siku zote. Kilichopo ni kwamba inauzwa sehemu ambazo mtengenezaji anajua ndiko kwenye mahitaji makubwa. Sehemu za mijini ambako ukinywa unachekwa kuwa huna hela hutazipata
Vijana wanaounguza maini yao kwa spirits wako wengi mijini. Hii ingewafaa sana.
 
Bia Bingwa haikuachwa kutengenezwa, ipo siku zote. Kilichopo ni kwamba inauzwa sehemu ambazo mtengenezaji anajua ndiko kwenye mahitaji makubwa. Sehemu za mijini ambako ukinywa unachekwa kuwa huna hela hutazipata

Bia Bingwa haikuachwa kutengenezwa, ipo siku zote. Kilichopo ni kwamba inauzwa sehemu ambazo mtengenezaji anajua ndiko kwenye mahitaji makubwa. Sehemu za mijini ambako ukinywa unachekwa kuwa huna hela hutazipata
Solution ni kuipandisha bei. Mimi nikiiuza kwenye bar yangu nitaiuza kwa 2000/=
 
Yan kuna bia imejengeka tu iman kuwa ni za watu choka mbaya...
Serengeti lite 1500 ukinywa baaa unaonekana kawaida tu..

Ila Pilsner 1500, bingwa 1500 ukinywa unaona sijui umevuruguwa au umefilisika
Ni mawazo mgando tu. Kwa kweli bia nyingi zinakosa soko si kwa sababu ya ubora bali mtazamo hasi tu.
 
Nakumbuka enzi hizo wanashindanisha Bingwa na The kick kipindi hiko watu walikuwa wanapombeka balaa.
Kuna wakati fulani kulikuwa na sherehe nyumbani kwa jamaa mmoja sisi walituweka kwenye kitengo cha vinywaji, bia ziliwekwa kwenye mapipa na barafu tulizipiga sana
Hizo ila hiyo kazi ya kutoa vinywaji ilivyoenda
Acha tuuu watu tulikuwa tingasss mbaya
Yaani vurugu tupu

Ova
 
Sasa mie ninae kunywa k vant ndogo tatu au k vant kubwa 1 nahitaji bingwa ngapi ili izifikie hizo k vant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…