Bia Bingwa imerudi?

Yaani uhamishwe nchi sababu ya kunywa beer? Sema walikufanyia kitu mbaya wahuni wa Kawe maana kule hawachagui,
Pole sana urudi sasa nyumbani watakua wameshasahau tukio.
 
Mi nipo songwe huku mkuu,,, hiyo ndio bia yetu walala hoi,,,[emoji23][emoji23],, maana inauzwa 1500, ukipiga mbili tu mzee unapiga kelele njia nzima Hadi gheto... Sema ukizidisha unaweza kujikatia gogo kabisa
 
Bange na Pombe stata yake inakuwaga ya tofauti sana yaani unawaka zaidi ya moto๐Ÿ˜€
HIYO UNATAKIWA UKIWA GETO...ukipinduka uko kwa bed.......sio mtaani.....watakusachi....and so on..... ๐Ÿ˜Ž
 
Wakuu nimekutana na rafiki yangu Arusha ametoka safarini Iringa amekuta huko bia ya Bingwa akaja na chupa kadhaa. Hii bia kumbe imerudi tena? Ilipotea kitambo sijawahi kuiona.

Ukiwa unainywa ni lazima uwe Jirani ( Mkabala ) sana na Chooni lakini pia Toilet Paper isiwe mbali nawe kwani ukiinywa hiyo Shimo Kuu la Dampo kwa Mwanadamu huwa Wazi kwa Kutiririsha ulivyovila pamoja na Viporo vyako vyote tu.
 
Mi nipo songwe huku mkuu,,, hiyo ndio bia yetu walala hoi,,,[emoji23][emoji23],, maana inauzwa 1500, ukipiga mbili tu mzee unapiga kelele njia nzima Hadi gheto... Sema ukizidisha unaweza kujikatia gogo kabisa
Bia ya kubana matumizi๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ