kitimotoHivi ukiambiwa uchague Bia na Kitimoto utachagua kipi?
Usije kusema vinaendana pamoja [emoji847][emoji847]akili za Naantombe Mushi [emoji847][emoji847][emoji847]
Sijui umeandika kitu gani??!!!
Nilipoandika juuu ya madhara ya ulaji kitimoto mimi sikuhusisha jambo hilo na imani yoyote ya dini, mimi niliangalia upande wa sayansi tu kinyume chake ni wewe uleingiza imani za kidini kuonyesha kwamba ni imani ya dini moja tu ndio inakataza watu watu wasile kitimoto, mimi nikakuonyesha kwamba hiyo siyo imani ya dini moja.
Kwakuwa umepotosha masuala ya imani za dini na sayansi Sasa mimi nasema unatakiwa ujifunze mambo haya:-
1---Dini inasimamia juu maneno ya Mungu.
2----Sayansi inasimamia juu ya uumbaji wa Mungu.
Zote dini na sayansi ya kweli ni mali za Mungu, vyote vinatoka kwake ni ujinga kusema kwamba sayansi ya kweli haihusiani na dini.
Angalia; Mtu akiugua maana yake kaathirika kimwili (uumbaji wa Mungu umeathirika) hivyo hawezi kufanya ibada sawasawa au anaweza asifanye ibada kabisa hapo utaona roho yake pia huathirika "negatively" hivyo kwa upande wa dini anaathirika negatively, halikadhali mtu mwenye njaa mwili huathirika kwa njaa na hivyo hawezi kufanya ibada na hivyo he will be spiritually affected, hapo sasa utaona maumbile (sayansi) na roho (dini) zinavyohusiana.
Kamwe huwezi kutenganisha sayansi ya "kweli" na Imani za dini ya "kweli", leo bila sayansi basi ibada zetu tusingetekeleza kwa Ufanisi, ni sayansi imesaidia kuchapisha Qur'an, Biblia, imesaidia kurahisisha mahubiri na matangazo ya kidini nk, hii maana yake Sayansi ni toothful tool (not toothless) katika kusaidia kutekekeza masuala ya kidunia na kiimani pia, a true science and a true doctrines are inseparable and they work together.
Nyama ya nguruwe ni nyama yenye diverse effect katika mwili wa mtu, wataalamu wa tiba wanaona mnyama ambaye viungo vyake vinakaribiana sana na viungo vya binadamu ni Nguruwe, ndio maana leo tafiti na studies zinafanywa kwa wingi ili viungo kama Moyo, maini, Figo, Kongosho, macho nk, vya nguruwe viweze kutumika kwa ajili "transplantation" kwa watu wanaihitaji viungo--- sasa utaona nguruwe mwili wake upo close sana na mwili wa binadamu hiyo ni dhahiri kwamba mtu ukila nyama ya nguruwe ni karibu sana na kula nyama ya mtu ndiyo maana anayekula nyama ya nguruwe hawezi acha jinsi (watu wanasena) aliyekula nyama ya mtu kuacha ni kazi.
Madhara yatokanayo na Epigenetics basda ya kula kitimoto ni obvious, ndio maana mashoga, magonjwa ya kansa, na tabia za ukosefu wa ghera zimezidi hii inachangiwa sana ulaji mkubwa wa kitimoto, hulka za watu zimeharibika, watu wamekuwa mithili ya wanyama kitabia, Epigenetics ni ugonjwa unaoathiri genes moja kwa moja na Genes ndiyo tofali la mwili wa mtu, tofali likiharibika jengo zima huaribika.
Acha kufananisha bia na vitu vya kijinga eti.
Kitimoto hata kwa fegi tuu haifiki
Nimekuwa wa kwanza kwa sababu ya hasira
Sijui umeandika madudu gani?!
As long as huwezi kuprove uwepo wa Mungu kwa scientific method basi sayansi haipo kwa ajili ya mambo hayo.
Dini ni mali ya Mungu lakini Sayansi haina mmiliki.
Usifosi imani yako iendane na sayansi wewe endelea kuamini tulia.
Hizo story za epigenetics na nyama ya nguruwe em weka reference apa au wewe ndo uliitest hiyo hypothesis Lab?
Na ukiweka hiyo reference I am sure mwanasayansi ataitwa Abdul Hassan
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa...em weka sasa reference zako za hiyo research kuwa nguruwe inaleta ushoga,,,tuache soga.Ungekuwa Citizen class A labda ungeelewa. Mada haikuwa sayansi na dini lakini umeingiza dini kwasababu wewe ni mdini.
Sayansi haipo ku proove uwepo wa Mungu, ni mawazo ya madaharia hayo kwamba sayansi kama tool ya ku solve matatizo yetu iwe ni tool ya kumthibitisha aliyetuletea hapa duniani, ni kwa kupitia maumbile ya asili (nature) ndipo mtu anaweza kutambua uwepo wa Mungu mfano Computer inaweza kuthibitisha kwamba imeundwa lakini sayansi ya komputer haiwezi kutumika kumthibitisha muundaji wake.
Sayansi ninayoizungumzia ni ile inayo deal na maumbile ya Mungu (Nature) na dini ni maneno/mafundisho ya Mungu, mafundisho ya Mungu na Maumbile (Nature) yapo kwa ajili ya faida zetu kiroho na kimwili respectively, hapo sasa ndipo utaona mahusiano ya sayansi na dini, (ref, mifano niliyokupatia katika post iliyopita).
Msikilize Einstein anasemaje; "SCIENCE WITHOUT RELIGION IS LAME, RELIGION WITHOUT SCIENCE IS BLIND" ----I don't think you are a such blind.
Eti, unasema dini ni mali ya Mungu na sayansi haina mmiliki!!![emoji1787], wewe hujui kwamba Kila kitu ni mali ya Mungu, hata wewe ni mali ya Mungu, Mungu aliyekupa hiyo jinsia ya kiume unayoringa nayo, hujui kama angalipenda angaliweza kukupa jinsia ya kike au angaliweza kukuumba panya na usingemfanya kitu chochote.
Unataka reference za Epigenetics na nyama ya kitimoto hapohapo "unapiga ramli chonganishi" kama sangoma kwamba Author wa hiyo Epigenics ya nguruwe atakuwa ni Abdul Hassan (Muisilamu), lakini hujui kwamba Wasio Waisilamu ndio wamefanya tafiti nyingi juu ya Nyama ya kitimoto na madhara yake, Wakristo safi, Waisilamu safi, Wahindu, Wayahudi safi hawali kitimoto kwasababu maandiko ya dini zao yanakataza kula, ni kutokana na makatazo hayo ndipo watafiti wakafanya uchunguzi na kuona kuwa nyama ya nguruwe inasababisha Epigenetics (highly affective), japo vipo vyakula nje ya nyama ya nguruwe vinavyoweza kusababisha Epigenetics lakini nyama ya nguruwe ni zaidi, Katika Leviticus nyama ya nguruwe imeitwa ni "najisi kwenu", najisi ni kitu kiiingiapo mwilini huchafua mwili na kuchafuka huko ndio "Epigenics" yaani uchafuzi/uharibifu wa genes ambazo ndizo building blocks za mwili wa mtu.
Unapokuja hapa kujibu achana na udini, kama utaingiza udini basi jitambulishe wewe ni dini gani ndipo tuanze mada nyingine ya "Pork in the light of religions".
Usifananishe kitimoto na uchafu
Sawa mtumishiKitimoto ni uchafu (najisi).
Soma Walawi 11:7.
"nguruwe usile ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui kwenu huyo ni najisi"
Najisi ni kitu kichafu.
Sawa mtumishi
Basi sawa...em weka sasa reference zako za hiyo research kuwa nguruwe inaleta ushoga,,,tuache soga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni loooooooooooooooooooooooooooooong shot
Sawa mtumishi wa MunguSawa Mtumishi, haitoshi, Sema; "sawa mtumishi wa Mungu".
Hii ni loooooooooooooooooooooooooooooong shot
Yani ni sawa na kulenga mbu kwa manati tena mbu awe Posta wewe upo Kenya.
Anyway kwanza Hiyo artical ni mambo ya "theoretical biology" wala sio scientifically provable facts.
Ukiachana na hiyo long shot ya kwanza(Tuiite mbu sasa)
Longshot ya pili ni kuwa hiyo Article haiongelei pork inaongelea inheritance ya homosexuality(Tuseme sasa wewe una manati)
Longshot ya tatu hakuna direct link ya jinsi hizo "epi-marks" (specifically za sexuality) zinavoweza kuwa manipulated na Chakula na pia kama ni nguruwe tu ndo inao huo uwezo.(hapa mbu anaenda in zigzag motion)
Anyways mkuu hii theory ya nguruwe wanaleta Ushoga inaonekana ilianza miaka ya 1900's ilianzishwa na cult moja ya kiislam wanaojiita waAhmadiyya.
Lakini wakasahau huko Pakistan na Afghanistan Kuna mashoga wakati nguruwe hamna.
Wewe mzee Mokaze ngoja nikusanue... ipo hivi kuhusu hizi article za wazungu zinazosema "homosexuality" is genetic....Ni kwamba wanataka waondoe ile notion ya kuwa ushoga ni 'uamuzi' wa mtu na kuwa mtu yeyote anaweza akaacha ushoga either akiokoka au akisilimu.
Lengo lao ni kukonclude kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili na ushoga upo kwenye DNA kabisa kwahyo Mungu ndo anaumba watu mashoga kwahyo waislam na wakristo wakubali kuwa hiyo jinsia ya LGBTQ ipo na ni valid genetically. wala wasiipinge
In reality ushoga ni uamuzi na ni tabia kama wizi au ulaibu wa madawa na husababishwa na mazingira ya mtoto anapokua..ndomana mashoga watoto wao huwa mashoga kwasababu ya wanavyowakuza wala sio kwasababu ya epi genes....so be careful what you advocate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtumishi wa Mungu
Mungu haumbi mashoga isipokuwa mashoga hujitengeneza wao wenyewe kwa kutumia vyakula hasa vilivyokatazwa na Mungu.
Haiwezekani katika dini zote kuu Nguruwe atajwe ni haramu bila sababu, Mashoga wengi ukiangalia historia yao ni walaji wakubwa wa kitimoto, japo inawezekana kuna baadhi ya wachache sana ambao hawali kitimoto ila wengi ni walaji WAKUBWA.
Hiki walichofanya hawa university of Tennesse ni Utafiti juu ya sababu inayopelekea watu kuwa Mashoga na wanasema:- Now reserchers says they've found a CLUE that may unlock the mystery it lies in something called epi-genetics----"
Hata wanyama wa porini kama simba huathiriwa na Homosexuality pale katika territories zao kunapokuwa na Nguruwe pori wengi kama chakula chao kikubwa.
Kifupi athari hiyo inaitwa "Nutritional epigenetics" kuna epigenetics zinasababishwa na vitu vingi katika mazingira tunayoishi mfano chemical exposure nk,
Kumbuka katika vitabu vya dini Pombe ni haramu na madhara yake yanafahamika kisayansi sasa vipi kitimoto madhara yake yasifahamike???.
Kama Waahmadiyya wamewahi kutamka kwamba nyama ya nguruwe husababisha homosexuality basi wako sahihi.
Sasa kwasababu biblia/Quran imekataza pombe na imegundulika zina madhara basi hata nguruwe na yenyewe ina madhara.Kumbuka katika vitabu vya dini Pombe ni haramu na madhara yake yanafahamika kisayansi sasa vipi kitimoto madhara yake yasifahamike???.
Are you sure? (And by the way hakuna limit kwa binadamu kula nyama...wanyama wote wanaliwa na binadamu except kunguru)Remember, of the all animals eaten by man it is only swine that exhibit homosexuality behaviour.
kwenye Dna moja tu kuna mamillioni ya genes
Poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unajua tofauti kati ya research na theory???
Unajua "epigenetics" ni kitu gani?? Sio genetics, jifunze kwanza hivyo vitu ndipo uje tujadili.