Biashara 3 za kufanya ktk kipindi hiki kigumu

Biashara 3 za kufanya ktk kipindi hiki kigumu

Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)

1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.

2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza)

3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.

Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.

commred Chichimizi

4. ni kuanzisha huduma ya kutoa elimu ya aina yoyote katika ngazi yoyote labda isipokuwa chekechea na elimu ya msingi au mpaka sekondari ya awali.
 
Mfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?

Biashara nyingine ni kilimo
ajabu tunafanya biashara na congo,burundi, na zambia ....
 
[emoji4] [emoji4]
Anzisha kiwanda

Rubiikimimi[emoji85]
 
[emoji126] [emoji593]

Rubiikimimi[emoji85]
 
Mfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?

Biashara nyingine ni kilimo
Ishu inakuja mtaji wa kununua scania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]milioni 500 my foot

commred Chichimizi
 
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)

1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.

2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza)

3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.

Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.

commred Chichimizi
Usitutishe mjomba mi naweka pesa yangu kwenye mafuta lazima nitoboe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote nzuri ila umesahau moja. Ukiona kitu watu wanalalamika sana kigeuze kuwa fursa kwako. Utawala huu kila mtu analia hana kitu ukianzisha kajitaasisi kako uwakopeshe watumishi wa umma wanaokopesheka hakika utapiga hatua sana hadi Uncle atoke ikulu utakua mbali sana.
 
Back
Top Bottom