Biashara 3 za kufanya ktk kipindi hiki kigumu

Biashara 3 za kufanya ktk kipindi hiki kigumu

Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)


1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.

2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza)

3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.


Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.



commred Chichimizi
Ushauri kuntu! [emoji106] [emoji106]
 
IMG-20170802-WA0026.jpg
 
Biashara 2 za kufanya katika kipindi hiki no:-
1,biashara ya mazao ,I.e mahnd,maharage,Katanga,mchele etc
2,biashara ya mobile money I.e Mpesa,Tgo Pesa,Crdb fahar huduma,Nmb,selcom etc
 
Acha masihara kusema kipindi cha miaka hii yote ya Ngosha ni kipindi cha mpito, wengine baada ya miaka hii tutakuwa na umuri wa uzee tena.
 
Hata biashara ya kuuza mademu pia inalipa tu maana watu hawaangalii mdororo wa uchumi kama network itahamia kwenye dushe
 
Back
Top Bottom