PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Nakuunga Mkono kwenye Biashara ya 1-2 mosi biashara ya Madawa Au Duka la Dawa Inatija kubwa kwa sasa kutokana na Hali ya Kiuchumi kupelekea watu wengi kupwatwa na maradhi ya Presha, hivyo wanahitaji kupata tiba.Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza
3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.)
Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.
commred Chichimizi
2 Biashara ya Vyakula nayopia ina soko kubwa kutokana na kila mwanadamu anahitaji kula ili aishi hivyo fursa kubwa ipo hapo katika fursa hizo 2