Mfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?pasua kichwa ununue tata mili 70 iyo pesa mpaka iludi utamkumbuka jk..
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza)
3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.
Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.
commred Chichimizi
ajabu tunafanya biashara na congo,burundi, na zambia ....Mfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?
Biashara nyingine ni kilimo
cha kuchakata makinikia au...[emoji4] [emoji4]
Anzisha kiwanda
Rubiikimimi[emoji85]
Nafaka mkuuMkuu ujafafanua vizuri hiyo biashara ya chakula ni hipi ni ya mama lishe au nafaka
Ishu inakuja mtaji wa kununua scania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]milioni 500 my footMfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?
Biashara nyingine ni kilimo
Sahihi aiseeUpo sahihi kabisa,
Kingine ni biashara ya usafirishaji abiria mijini lakini kwa safari fupifupi hususani za mjini.
hapa ni kugawana wateja tu na kipato kitakuwa cha kawaida sana, aliyekuwa na wateja 20 atakuwa nao 8, kozi hii ndo biashara mpya hapa mjini kwa kila mtu.Uko sahihi mkuu kwenye chakula hapo mie ndio nataka kufanya aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitutishe mjomba mi naweka pesa yangu kwenye mafuta lazima nitoboeBiashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)