Mkuu nimekuelew San, cha mcng kukaza ubongo tyuUsitutishe mjomba mi naweka pesa yangu kwenye mafuta lazima nitoboe
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule zimefunguliwa [emoji23]Kuchezesha magemu [emoji16]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Kolomije primaryShule zimefunguliwa [emoji23]
Watakua waña winda ndege shorwe chakaKolomije primary
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Masai wana kaa kumi chumba kimmoja
Ushauri kuntu! [emoji106] [emoji106]Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu (maana lazima watu wale hata mlo 1 kwa siku so lazima utauza)
3.Wekeza zaidi kwenye nyumba za kupangisha kama unamtaji mzuri na eneo linalopangishika.
Ushauri tu......lakini ukitaka kulia kilio cha mbwa basi tia pesa zako nje ya hizo then utanisimulia.
commred Chichimizi
Lima mazao ya chakula utauza tuMfano mkuu gari za mzingo, (scania) kusafirisha mzingo kutoa nje ya Tanzania na mikoani mfano kubeba cement, mbao na tank za mafuta?
Biashara nyingine ni kilimo
Forex trading
ShukraniLima mazao ya chakula utauza tu