Biashara 3 za kufanya ktk kipindi hiki kigumu

Nakuunga Mkono kwenye Biashara ya 1-2 mosi biashara ya Madawa Au Duka la Dawa Inatija kubwa kwa sasa kutokana na Hali ya Kiuchumi kupelekea watu wengi kupwatwa na maradhi ya Presha, hivyo wanahitaji kupata tiba.

2 Biashara ya Vyakula nayopia ina soko kubwa kutokana na kila mwanadamu anahitaji kula ili aishi hivyo fursa kubwa ipo hapo katika fursa hizo 2
 
Biashara ya nyumba ya kupanga return yake ni ndogo kulinganisha na pesa uliyojengea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…