Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Kuwekeza kichwani bila mchongo au mtaji ni uongo aisee....
Jamaa hajui chochote huyo,wahitimu wengi wapo mtaani,mtu kasoma ualimu,ana maarifa ya kufundishia,hana mtaji hata wa kupanga chumba cha kufundishia watoto,au kuchapisha matangazo ya tuisheni yake,unamwambia atumie maarifa,maarifa gani?
Mtaji ni muhimu sana.
 
Unadhani Serikali haijui kuwa tukitaka kufaidika na hizo resources tuna hitaji watu wetu ndio wafanye extraction??.That means tunahitaji technology + Capital,ambapo hivi vyote vinaweza kupatikana Serikali ikiamua kama technology tunaweza Ku import na kama Capital Serikali inaweza Ku finance but unadhani kwa nini haifanyi???????
 

Maarifa ya shule tu hayatoshi


Mimi naongelea informal education
 
Kinachoniumiza ni kuwa kwa vyovyote vile ukiwa masikini utaendelea kuwa masikini tu kwasababu kelele ni nyingi masikioni mwa masikini .

Mara panda miti itakutoa , walipojaribu maliasili wakasema tutaona [emoji3]

Mara nenda kachimbe madini huko wakaishia kuliwa hela kwa waganga na kuangukiwa na kifusi [emoji3] wakapungua idadi.

Mara chipsi zinalipa tafuta kijiwe huko wakaishia kufukuzwa na mgambo wa jiji ati sio eneo maalumu la biashara [emoji3]

Mwingine akamwambia kuwa bodaboda maana utapata hela zaidi ya maticha wote nchini [emoji3] huko masikini wa watu wakaishia kupata ajali na kuvunjika miguu wako nyumbani wanawategemea masikini wenzao
Cc mpwayungu village

ROBERT HERIEL akawaambia masikini jutahidi kuwa bahili ili uwe tajiri masikini wa watu wakafa na utapiamlo na kwashakoo wao na watoto wao.

Wakaambiwa nenda kalime maana mali utaipata shambani [emoji3] huko Mungu akawaambia sijawaita huku nyie akagoma kuwapa mvua .

Basi wanaharakati wakasema maendeleo ya mtu yataletwa na serikali yao ndiyo kwanza madaktari wa heshima za tozo , umeme na rushwa wakaongezeka nchini .

Mwisho ewe masikini popote ulipo unasoma hiki kipande wasikudanganye chochote hawa walioshiba nenda kafanye chochote ukipata mkate kwaajili ya familia ikutoshe kusema wewe ni tajiri maana hapa kwenye hii dunia tunapita masikini wewe .

Acha kuwaza makuu wakati vizazi vyako havikuwa nayo pambana upate chakula cha kutosha hayo mengine ni anasa bwana masikini[emoji3]

Ukiendelea kuwasikiliza hawa utakufa kwa mawazo rafiki yangu masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazani maandishi mengi kama haya nitasoma?
I target audience or crowd ingekuwa purposely kwako ningekutumia inbox. Puuzia sio lazima. Mana nothing gonna changes whether you read or not. Yaani mie nimekuambia Niko shuleni kwa akili zetu zinavyofanya Kazi na Ni kwa Nini over.
 
Action imenifikisha kwenye viunga vya kuelekea utajiri mzee, miaka yote nilikuwa nazunguka kama mleta mada, mara sijui kwenda semina za ujasiriamali na upuuz nwingine.

Baada ya kuamua kufanya vitendo nimeona maisha yangu yakibadilika completely
Action imekufikisha wapi.


“Speed is useless if you dont know direction”
 

Usiwakatishe watu tamaa mtu kama mzima ana afya

“Ukizaliwa maskini sio kosa lako,ila ukifa Maskini ni kosa lako”
 
Biashara ambayo haitokaa ikupe hasara ni kutujihusisha na biashara kabisa .

Ila sheria ya biashara nijuavyo ni ku minimize loss na ku maximize profit hata biashara iweje lazima iwe na losses hii haiepukiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…