Biashara ya vifaa vya ujenzi na spea za kilimo.Vipuri vya magari nkWakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Siasa chama kiktoswa, Uchawa unakufa!Siasa, uchawa
SEMA KWERIIIZipo mkuu, ushajaribu kuwa ombomba?
Msingi kiti cha walemavu au mawani y vipofu tu. Utapiga hela mpaka uchanganyikiwe pale kariakoo
Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Biashara ni hii tu. Jenga mijengoJenga vyumba vya kupangisha.
Hata ukiyumba vyumba vinabaki
Biashara ya nyumba za kupangisha.Hiyo biashara haipo labda ujiuze [emoji81]
Biashara ipi hiyo boss?Tangu nianze sijawahi kuyumba kiasi cha kukopa.
Kwanza hakuna kitu naogopa kama kukopa aresee
Akizeeka?Wanawake wanatembea na utajiri ambao hauishi