Biashara gani ata ukiyumba kiasi gani msingi wako una baki palepale?

Biashara gani ata ukiyumba kiasi gani msingi wako una baki palepale?

Msingi ni lazima uzae, then uzae tena na tena. Haiwezekani biashara ndio inaanza haraf faida ya kila siku unaitolea macho.

Ipe mda biashara yako na hapo sasa hata ikiyumba hautaazima pesa sehemu.

Kuyumba kwa biashara kupo na hakukwepeki.
 
Kwa biashara uongo labda useme uwekezaji ambao hata interest ikishuka haiwezi kuathiri mtaji lakinI, kwenye biashara uongo ikiyumba na mtaji utakata
Si umemuona jamaa Ndizi alikuwa anasafirisha akauze nchi jirani, ndizi zikaivia mpakani!!
Mtaji umekata na deni benki liko pale pale😂😂
 
Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
From my experience nyumba tu ndio biashara ya uhakika inaweza kukuhudumia hata ukiwa umelala kitandani na huna nguvu ya kufanyw kazi, na inaweza kwenda from one generation to another, na utawminika na kufuatwa na banks ila hapo ndio mtego ulipo, hata wakubembeleze vipi usiweke nyumba kama dhamana itaondoka
 
Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Ni Biashara Yenye ujuzi wako kwa Asilimia kubwa kama vile kinyozi (saluni, Ufundi wa aina yeyote ile hata kama uliweka pesa kias Fulani lakin unakuhitaji ww
 
Back
Top Bottom