Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Hii asithubutuPopcorn
Hii asithubutuPopcorn
Daaah mkuu ni mambo ya maana basi wee acha tuu 🙌🙌🙌Biashara ipi hiyo boss?
Hii ya kivivu sana. Siwezi wekeza 30m nikitarajia mapato ya 3Lak kwa mwezi.Jenga vyumba vya kupangisha.
Hata ukiyumba vyumba vinabaki
Siku hizi wanaita kudangaKuuza kikojoleo. Hakuna mtu ataondoka nacho
Hujamuelewa anachomaanisha, tofautisha biashara na uwekezaji..!!Biashara ya nyumba za kupangisha.
Kwamba anabaki na bidhaa yake au sio😃😂😂Hiyo biashara haipo labda ujiuze 😹
Eeeh ndio jirani..!! 😹😹😹Kwamba anabaki na bidhaa yake au sio😃😂😂
pool tableWakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
BondWakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Be wise, Haipo.Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Sawa sawa sawa 👊👊Eeeh ndio jirani..!! 😹😹😹
nakazia, hata akila ya leo yote, kesho tena siku na wateja tupoHiyo biashara haipo labda ujiuze
😹😹😹 Yeye ajisell wateja atawakuta kila siku mpo..!!nakazia, hata akila ya leo yote, kesho tena siku na wateja tupo