Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,339
Kwani nimekuuliza au ndio kuwashwawashwa kwenyewe huko. Mtoto wa kiume acha pigo za kishoboshobo. Mjinga mmoja weweSpea za pikipiki kama sikosei. biashara fulani hivi amazing lakini watu hawajaijua bado.
Dah umenishawishi mkuu nadhani ni sahihipool table
Auze mwili?Hiyo biashara haipo labda ujiuze 😹
Hii kama hauna mtaji stable, unadondokea pua na kusahaulika.Biashara ya vifaa vya ujenzi na spea za kilimo.Vipuri vya magari nk
Hivi vyote huwa vinategemea potentiality ya vitu vya ziada, vikiondoka na biashara inakufa hapohapo, lodge, hotel, guest na nyumba zilizokuwa zinazunguka stendi ya ubungo, siku stendi imehama na upepo ukabadilika,Nyumba,frem za kupangisha ardhi potential pamoja na guest house
Hapana,Iko vizuri!Hii kama hauna mtaji stable, unadondokea pua na kusahaulika.