Katka wote waliochangia naona wewe ndo umekuwa mkweli.Ehh ni bora akaanza na hayo mabereshi ila sio atumbukize mil15,...mi naongea kwa experienc mkuu,sabab nmefanya hii kitu na nnaijua nje ndani,mikoa yoote nmekaa kwa sabab ya hii ishu na nje ya nchi nmefika kwasabab ya hii ishu,.mtu asie na knowledge kabsa ya madin simshaur afanye hii kitu,kama ni kufanya bas aanze na mtaj wa lak5 tu,aende huko site akaaeee ajue michezo yoote halaf ndo badae aweke pesa,...
Wizi mtupucryptocurrence inalipa
Kaka umeniongopea kuhusu biashara ya kiwanjaWe Jamaa iko siku nitakutafuta, nakumbuka kuna sehemu ulinishauri ninunue yale madude ya kusaga mawe huko mgodi. Bado nakumbuka, mambo yakikaa sawa nitakuchek.
Hawa wengne si wanaongelea biashara kwa kuzijua kwenye vitabu na mitandaon,sis tunazifanya hiz biashara,..na biashara yoyote kama ndo unaanza nayo huijui vzur ,haishauriw kuanza na mtaji mkubwa hata sku1,unapoanza na mtaj mdogo unajiweka kwenye position ya kutotapelika,kutofuja ,na kua makin sana coz ts the only capital u have..ila ukianza na limtaj likuubwa,utaanza spend hyo pesa kwa matumiz yasiyo lazmaKatka wote waliochangia naona wewe ndo umekuwa mkweli.
Kaka kwan nilikwambia kuwa nahitajia?Kaka umeniongopea kuhusu biashara ya kiwanja
Mkuu hujasema hiyo biashara ya saluni, kama ni ya kike ama ya kiumeKwa mfanya biashara akifanya biashara yakula inamuingizia pesa yakula bila kuleta faida ya juu baada yakutoa matumizi hio nisawa na hasara.
Na saluni mbili za kiume,na kijiduka cha mtaani fedha nayopata nizaidi ya hiyo 30/40 sema nimeweka hiyo kama kiasi cha chini kabisa.Mkuu hujasema hiyo biashara ya saluni, kama ni ya kike ama ya kiume
Sawa kiongozi. Hongera sana kwa hatua nzuri uliyofikia.Na saluni mbili za kiume,na kijiduka cha mtaani fedha nayopata nizaidi ya hiyo 30/40 sema nimeweka hiyo kama kiasi cha chini kabisa.
Sawa kiongozi shukrani saana,hio paragraph yamwisho nimeichukua kama ilivo.Sawa kiongozi. Hongera sana kwa hatua nzuri uliyofikia.
Kwa mtazamo wangu ili kuongeza kipato ungefanya hiyo biashara inayokupatia Tsh 30,000/= + kwa siku kwenye location nyingine mbili tofauti ambazo zina population kubwa. Hii ni nzuri kwako sababu tayari unajua ABC za hiyo biashara yako.
Pili, unaweza fanya biashara ya mazao. Watu wanaweza waahirishe kuvaa, waahirishe kupendeza, waahirishe kufanya starehe lakini hawawezi kuahirisha kula. Biashara ya mazao ni biashara ya uhakika.
Hakuna wizi hukupata mentor mzuri au hukupata elimu tu nakukuhakukishia hi I biashara inalipa zaidi ya biashara yoyote duniani ila elimu ndio msingi wa hii biasharaWizi mtupu
Good ideaKama uko dar ingia kwenye biashara ya vitafunwa especially chapati na maandazi ila fanya chai ya rangi bure.Fanya iwe mobile kitchen kwenye gari kama kirikuu au hiace kukuu ambayo unaweza pata hata kwa m3 .Gari yako asubuhi inaenda kutega kwenye centre zenye watu wengi kama kariakoo,mbagala,posta,ilala etc.
Target yako inakua ni kuuza chapati 400 kwa sh 500 na maandazi 200 kwa sh 200 kila siku asubuhi.Target ya hiyo faida utaifikia tu.
Faidika peke yako, aacha sie twende na mfumo tuliozoeaHakuna wizi hukupata mentor mzuri au hukupata elimu tu nakukuhakukishia hi I biashara inalipa zaidi ya biashara yoyote duniani ila elimu ndio msingi wa hii biashara
Panda basi shuka kampala... Hapo hapo kampala kuna soko kuu la mtumba lina itwa owino.. Lipo jirani tu na kituo kikuu cha mabasi.. Ukimaliza hapo panda basi la kwenda mukono, luzira au bweyogerere shuka kituo kimoja kinaitwa Nakawa hapo hapo Nakawa pia kuna soko kuu linaitwa hivyo hivyo Nakawa ukishuka tu stendi unaliona soko..kwakuwa wewe n mgeni nimekushauri upande basi ila kama mwenyeji kama kina sisi tulikuwa tuna tembea kwa mguu tu kutoka hapo kampala cty center hadi hapoWa kuu nampango wa kufungua biashara ya viatu vya mitumba lakini nivifuate Uganda , msaada tafadhali huko vinapatikana mitaa gani. Na bei ipo poje nawasilisha kwenu kwa msaada.
Sio kila sehemu ni kufanya utani chiefbiashara ya figo za binadamu itapendeza
Nc idea mkuu Duka dawa mifugo au dawa za binadam kitu inalipa pia spea za magar pikipik nakubali chakula cna hakika xnAngalia duka la vifaa vya boda boda sina uzoefu ila naona kama ni emerging market sema linahitaji upate sehem iliyochangamka. Fungua cafe uza chakula kizuri na kisafi ukipata site nzur pia itakulia
Acha kuwa kaaNjoo pm,
Lazima ajipange hyo kama haelew utapigwa hapo mpaka bas hyo biashara nzuri kama utaingia mwenyewe front line kwenye machimbo yote kuanzia Karole,nyangarata, tarime kule singida,tabora na machimbo mengne vingnevyo jiandae[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]dhahabu, njoo tupige kazi, 0716411720
SijakuelewaAcha kuwa kaa