sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Katka wote waliochangia naona wewe ndo umekuwa mkweli.Ehh ni bora akaanza na hayo mabereshi ila sio atumbukize mil15,...mi naongea kwa experienc mkuu,sabab nmefanya hii kitu na nnaijua nje ndani,mikoa yoote nmekaa kwa sabab ya hii ishu na nje ya nchi nmefika kwasabab ya hii ishu,.mtu asie na knowledge kabsa ya madin simshaur afanye hii kitu,kama ni kufanya bas aanze na mtaj wa lak5 tu,aende huko site akaaeee ajue michezo yoote halaf ndo badae aweke pesa,...