[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtu maarufuAhhj hapana,ujue kuna muda tunatokaga kwenye site tumechoka so hua tunaongea upuuz sana hum,mtu anaeza dhani si watu wa maana,ila,ni watu wenye status zetu za maana sana,so nkiweka details hapa,itakua shida,af mi pale udsm nilikua maaruf sana,watu wakijua ndo mim,itakua noma,..this site is for havin fun,to me lakin,
nimewah kuuza ya 99%Kupungua kwa uzito kupo ukiyeyusha, baadhi ya uchafu unatoka. Ndio maana asilimia inatumika kukokotoa. Haiwezi kuwa asilimia mia dhahabu.
Mkuu nauza kiwanja niongezee mtaji, njoo unisapoti, tangazo lipo humu. Na pia napangisha nyumba yangu, tangazo pia lipo humuhawa wasomi wetu wa EXPANSION JOINT mitaji hawana wanataka kukutapeli waogope! endelea na biashara yako mkuu ya zamani
mshauri hapa jukwaani na akiona kama ushauri wako ni sawa na kuna wazoefu wengi watakuwa wamesoma ushauri wako yeye mwenyewe atatumia busara yake kukutafuta ila kumgombania huyo jamaa kila mtu anamwambia njoo tupige kazi na hujasema je utalipwa, na kama utalipwa itakuwa shs ngapi, kazi mtakayochapa naye ni ipina kwa hiyo hela mtaanzaje na atapata faida gani.weka vitu wazi kama una nia njema mkuu!Nije tufanye hiyo kaz sawa
Hahaha wewe kukaa nyuma ya keyboard na kusoma post yangu moja mdo umeshafahamu kama nimetoka au la? Hahaha silence is the best answer to a foolkama una experience mbona sasa bado hujatoka.usimdanganye mwenzako,sisi tupo machimboni huku tunaijua vizuri hii biashara
hacha ujuaji mkuu et nimepita migodi yote? una fahamu idadi ya migodi iliyopo tz?Mi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayo
Duh, hicho si kikole au nugget, chimbo la wapi hilo na ilikuwa gram ngapi. Dah umenitamanisha hilochimbonimewah kuuza ya 99%
Unanunulia wapi?
Usijali kaka, tupo pamoja, achana na watu wanaodhani kila aliyepo jf ni mzugajigolden pride huyu mkuu sidhani kama anania mbaya kikubwa yy kaelezea namna Ishu ilivyo. Mkuu mm nitakuchek
unfortunately you are not silent! I think you are a wise enough to know that!Hahaha wewe kukaa nyuma ya keyboard na kusoma post yangu moja mdo umeshafahamu kama nimetoka au la? Hahaha silence is the best answer to a fool
haya bwana ili mradi baadaye usirudi humu kulialia.Learn to Choose your friends wiselyUsijali kaka, tupo pamoja, achana na watu wanaodhani kila aliyepo jf ni mzugaji
Mi nimjuaj ndio,we nauhakika huna hata biashara 1,na wala madin hujawai fanya,ni mtu wa bla bla tuu,..kwa mfanyabiashara anaejua anafanya nin,ushaur wangu atachkua,ila,kwa mtu kama wew wa mitandaon kila siku kushaur watu akat field hujawai fika wala kuthubutu kwenye chochote zaid ya kuthubutu kuoa au kupata dem,lazma usinielewe tuhacha ujuaji mkuu et nimepita migodi yote? una fahamu idadi ya migodi iliyopo tz?
Mkuu hii biashara unaifanyia wapi!?Nna interest nayo kupita kiasi Cha kawaida.Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Sawa mkuu, kuna mambo naweka sawa nikamilisha tu nakuchek.Usijali kaka, tupo pamoja, achana na watu wanaodhani kila aliyepo jf ni mzugaji
nasimama pale pale... nina paamini daima na huwa siyumbishwagi na kejeri au dharau.... siku zote... kwakuwa nami nafahamu ninachokifanya...Mi nimjuaj ndio,we nauhakika huna hata biashara 1,na wala madin hujawai fanya,ni mtu wa bla bla tuu,..kwa mfanyabiashara anaejua anafanya nin,ushaur wangu atachkua,ila,kwa mtu kama wew wa mitandaon kila siku kushaur watu akat field hujawai fika wala kuthubutu kwenye chochote zaid ya kuthubutu kuoa au kupata dem,lazma usinielewe tu
We ni mfano hai wa Analysis paralysis.Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross
Bas sawa.nasimama pale pale... nina paamini daima na huwa siyumbishwagi na kejeri au dharau.... siku zote... kwakuwa nami nafahamu ninachokifanya...
NB:
hauifahamu na haujawahi fika migodi yote iliyopo tz zaidi ya kuisikia.... OVA....
Njoo pm,Mkuu hii biashara unaifanyia wapi!?Nna interest nayo kupita kiasi Cha kawaida.