Mi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayo