Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Ahhj hapana,ujue kuna muda tunatokaga kwenye site tumechoka so hua tunaongea upuuz sana hum,mtu anaeza dhani si watu wa maana,ila,ni watu wenye status zetu za maana sana,so nkiweka details hapa,itakua shida,af mi pale udsm nilikua maaruf sana,watu wakijua ndo mim,itakua noma,..this site is for havin fun,to me lakin,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtu maarufu
 
hawa wasomi wetu wa EXPANSION JOINT mitaji hawana wanataka kukutapeli waogope! endelea na biashara yako mkuu ya zamani
Mkuu nauza kiwanja niongezee mtaji, njoo unisapoti, tangazo lipo humu. Na pia napangisha nyumba yangu, tangazo pia lipo humu
 
Nije tufanye hiyo kaz sawa
mshauri hapa jukwaani na akiona kama ushauri wako ni sawa na kuna wazoefu wengi watakuwa wamesoma ushauri wako yeye mwenyewe atatumia busara yake kukutafuta ila kumgombania huyo jamaa kila mtu anamwambia njoo tupige kazi na hujasema je utalipwa, na kama utalipwa itakuwa shs ngapi, kazi mtakayochapa naye ni ipina kwa hiyo hela mtaanzaje na atapata faida gani.weka vitu wazi kama una nia njema mkuu!
 
kama una experience mbona sasa bado hujatoka.usimdanganye mwenzako,sisi tupo machimboni huku tunaijua vizuri hii biashara
Hahaha wewe kukaa nyuma ya keyboard na kusoma post yangu moja mdo umeshafahamu kama nimetoka au la? Hahaha silence is the best answer to a fool
 
Mi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayo
hacha ujuaji mkuu et nimepita migodi yote? una fahamu idadi ya migodi iliyopo tz?
 
Hahaha wewe kukaa nyuma ya keyboard na kusoma post yangu moja mdo umeshafahamu kama nimetoka au la? Hahaha silence is the best answer to a fool
unfortunately you are not silent! I think you are a wise enough to know that!
 
hacha ujuaji mkuu et nimepita migodi yote? una fahamu idadi ya migodi iliyopo tz?
Mi nimjuaj ndio,we nauhakika huna hata biashara 1,na wala madin hujawai fanya,ni mtu wa bla bla tuu,..kwa mfanyabiashara anaejua anafanya nin,ushaur wangu atachkua,ila,kwa mtu kama wew wa mitandaon kila siku kushaur watu akat field hujawai fika wala kuthubutu kwenye chochote zaid ya kuthubutu kuoa au kupata dem,lazma usinielewe tu
 
Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.

Tufanye ana 5m.

1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,

Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Mkuu hii biashara unaifanyia wapi!?Nna interest nayo kupita kiasi Cha kawaida.
 
Mi nimjuaj ndio,we nauhakika huna hata biashara 1,na wala madin hujawai fanya,ni mtu wa bla bla tuu,..kwa mfanyabiashara anaejua anafanya nin,ushaur wangu atachkua,ila,kwa mtu kama wew wa mitandaon kila siku kushaur watu akat field hujawai fika wala kuthubutu kwenye chochote zaid ya kuthubutu kuoa au kupata dem,lazma usinielewe tu
nasimama pale pale... nina paamini daima na huwa siyumbishwagi na kejeri au dharau.... siku zote... kwakuwa nami nafahamu ninachokifanya...

NB:
hauifahamu na haujawahi fika migodi yote iliyopo tz zaidi ya kuisikia.... OVA....
 
Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross
We ni mfano hai wa Analysis paralysis.
 
nasimama pale pale... nina paamini daima na huwa siyumbishwagi na kejeri au dharau.... siku zote... kwakuwa nami nafahamu ninachokifanya...

NB:
hauifahamu na haujawahi fika migodi yote iliyopo tz zaidi ya kuisikia.... OVA....
Bas sawa.
 
FUGA NGURUWE ARUSHA.SOKO NI KUBWA KULIKO NGURUWE WENYEWE.NGURUWE MDOGO WA MWEZI NI 50,000 WA MIEZI MITATU KUANZIA 250,000 MPAKA 300,000 WA MIEZI SITA NI KUANZIA LAKI NNE MPAKA 500,000. WANUNUZI WANAKUJA WENYEWE NA UKIWA NA NGURUWE WAKUBWA HATA WAKIWA 100 WANACHUKULIWA WOTE.SASA NGURUWE WANAENDA KUNUNULIWA SINGIDA,TABORA ,IRINGA NK.TENGA HIYO HELA YA CHAKULA, NGURUWE NA UWAWEKE WAWE WANAZAA KWA AWAMU

pig-mavi.jpg

pig-mavi.jpg
 
Back
Top Bottom